Wimbo maalum unaoelezea mafanikio na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Ilemela kwa kipindi cha miaka mitano, 2015-2020 ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Mtunzi; Peter Msechu
Muimbaji; Peter Msechu
Mtayarishaji; Msechu Entertainment Ltd.
Haki Miliki ya wimbo; Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela amewakabidhi pikipiki maafisa elimu kata wa kata zote 19 za Manispaa ya Ilemela.
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.