• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA FFARS KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

Posted on: July 28th, 2025

Wataalam mbalimbali kutoka idara za afyana elimu wametakiwa kutumia mfumo mpya katika vituo vya kutolea huduma na kuachana na ule wa zamani kwa maana ya njia ya cheki ili kuweza kuendana na teknolojia pia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. 


Rai hii ilitolewa na mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela Bi. Ummy Wayayu siku ya tarehe 25.07.2025 wakati akifungua mafunzo ya  kuwajengea uwezo wataalam hao katika mfumo wa uhasibu na utoaji wa taarifa katika vituo vya kutolea huduma (FFARS), yakilenga  kutoa uelewa mpana, maarifa na stadi za kuwezesha utendaji wa moja kwa moja kwenye vituo vya kutolea huduma kama vile shule, zahanati, vituo vya afya na hospitali

 

“Mfumo huu umekuja kuleta mapinduzi katika mambo ya uhasibu na ukusanyaji wa taarifa hivyo nendeni mkautumie kikamilifu ili kuepukana na changamoto za upotevu wa kumbukumbu za taarifa inayotokana na mifumo ya kizamani ama utengenezwaji wa taarifa za kughushi”. Alisisitiza Bi. Ummy.

 

Akizungumza wakati akiendesha mafunzo hayo Ndg. Abraham Bisera, muwakilishi kutoka idara ya afya amesema kuwa mafunzo hayo yatawasaidia washiriki upata stadi za utunzaji vitabu muhimu vya uhasibu na utunzaji wa kumbukumbu za miamala ya kifedha pamoja na utayarishaji wa taarifa za fedha kwa vipindi mbalimbali.

 

Naye Ndg. Nkuba Iseni Charles, mtendaji wa kata ya ilemela kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo amemshukuru mkurugenzi na uongozi wa halmashauri kwa kuratibu mafunzo hayo kwani mfumo wa ffars unakwenda kuwarahisia kutekeleza majukumu yao pamoja na kuongezeka kwa ufanisi wa shughuli za kiuhasibu katika maeneo yao ya kazi.

 

Mfumo jumuishi wa uhasibu na utoaji wa taarifa katika vituo vya kutolea huduma (FFARS) umetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya stadi sahihi (zilizoboreshwa) za udhibiti wa fedha katika ngazi ya kituo.

 

Announcements

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • TANGAZO LA KAZI NAFASI YA UDEREVA DARAJA LA II June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANAFUNZI WATAKIWA KUDUMISHA NIDHAMU

    July 30, 2025
  • WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA FFARS KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

    July 28, 2025
  • WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA FFARS KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA

    July 28, 2025
  • MANISPAA YA ILEMELA YAPONGEZWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA GREEN AND SMART CITIES SASA

    July 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.