• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAWATAMBUA NA KUWATHAMINI WAZEE

Posted on: April 16th, 2018

Halmashauri ya manispaa ya Ilemela itaendelea kuwatambua na kuwathamini wazee wa manispaa hiyo kwa kusaidia upatikanaji wa haki na stahiki muhimu za wazee wote.


Hayo yalisemwa na Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Mheshimiwa Renatus Mulunga wakati wa uzinduzi wa baraza la wazee wa kata ya Mecco ambapo amewahakikishia kuwa manispaa yake itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha wazee wa wilaya yake wanapata maslahi na haki zao kwa wakati ikiwemo huduma za matibabu bila ya gharama yeyote na kuwakutanisha pamoja ili waweze kujadili na kuzitafutia ufumbuzi wa pamoja changamoto zote zinazowakabili

‘.. Wazee wangu kwanza nashukuru leo tumeweza kujumuika pamoja, Lakini niwahakikishie kuwa manispaa yangu ya Ilemela itaendelea kuwatambua na kuwathamini kwa kusaidia upatikanaji wa haki zenu na stahiki zenu muhimu ..’ Alisema


Kwa upande wake mwenyekiti wa baraza la wazee kata ya Mecco ndugu Mohamed Yusuph ameishukuru serikali ya awamu ya tano chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari John Magufuli kwa kuwatambua wazee kama sehemu ya jamii huku akiipongeza halmashauri ya manispaa ya Ilemela kwa kuendesha mchakato wa kupata mabaraza ya wazee kuanzia ngazi za mitaa, kata na wilaya kitendo ambacho kimempa fursa yeye kuaminiwa na kuchaguliwa na wazee wenzake aweze kuwawakilisha na kushiriki katika kuzitafutia ufumbuzi changamoto zote zinazowakabili kwa kushirikiana na Serikali.



Nae Mratibu wa mabaraza ya wazee wilaya ya Ilemela Bi Neema Kawishe mbali na kufafanua juu ya majukumu muhimu ya baraza hilo amebainisha faida mbalimbali watakazozipata wazee hao kupitia uwepo wa mabaraza ya wazee ikiwemo kutoa nafasi kwa wazee waweze kushauriana na kuishauri serikali juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutetea maslahi yao.

Uzinduzi wa baraza hilo umeenda sambamba na zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya huduma za matibabu bure kwa wazee waliohudhuria uzinduzi huo na kupambwa na kauli mbiu ya ‘ UZEE NA KUZEEKA NANI ATAKWEPA ’

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.