• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

BARAZA LA MADIWANI ILEMELA LAPITISHA BAJETI YA KIASI CHA TSHS. 78,008,599,777

Posted on: January 19th, 2020

Jumla ya kiasi cha Tshs. 78,008,589,777/= zimeidhinishwa na kupitishwa na baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ikiwa ni makisio ya mpango na bajeti  kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021. Kati ya fedha hizo Tshs. 20,487,197,770/= ni Ruzuku ya miradi ya maendeleo, Tshs.1,952,189,901/= ruzuku ya matumizi ya Kawaida, Tshs. 46,471,289,106/= mishahara na Tshs. 9,097,914,000/= mapato ya ndani.


Akiwasilisha makisio na mpango wa bajeti, kwa niaba ya Mkurugenzi, Mophen Mwakajonga ambae ni mchumi wa Manispaa alisema kuwa, mapato yanayotokana na  vyanzo vya ndani yameongezeka  kutoka 8,878,387,000.00 (2019/2020)  hadi Tshs 9,097,914,000.00 (2020/2021) sawa na ongezeko la asilimia 2.5


Alifafanua kuwa, kati ya mapato ya ndani, kiasi cha Tshs 5,144,096,400/= sawa na asilimia 60 ya mapato zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo 10% ambayo ni sawa na Tshs 857,349,000/= ya uwezeshaji kiuchumi kwa wanawake, vijana na walemavu.


Ndugu Mophen alivitaja vipaumbele kuwa ni pamoja na ujenzi, afya, elimu msingi na sekondari, ardhi na mipangomiji, utawala, maendeleo ya Jamii, usafishaji na mazingira ,mpango,takwimu na ufuatiliaji, fedha na biashara,mifugo na uvuvi,kilimo na umwagiliaji,ushirika pamoja na nyuki.


Sambamba na uwasilishaji wa mapendekezo ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021, Halmashauri imewasilisha maombi maalumu yenye jumla ya Tsh. 9,000,000,000/= kama ifuatavyo;ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Halmashauri wenye jumla ya Tsh. 2,800,000,000/=, kupatiwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya. Manispaa imeomba kiasi cha Tshs 700,000,000/= kwa ajili ya kuendeleza ujenzi huu, miradi ya kimkakati ya ujenzi wa standi ya mabasi na maegesho ya msalori Nyamhongolo  Tshs 5,500,000,000/=.


Pia Halmashauri imewasilisha maandiko ya miradi  2 yenye thamani ya Tshs. 1,256,032,450.00 ambapo kiasi cha Tshs 983,635,000.00 ni kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa 40 katika shule za sekondari na msingi na kiasi cha Tsh. 272,397,450.00 kwa ajili ya ukamilishaji wa zahanati za Lumala na Nyamadoke.


Katika kipindi cha mwaka 2019/2020 Halmashauri ilipanga kukusanya na kupokea jumla ya Tshs 68,063,798,023.00/= kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali za Maendeleo na matumizi ya kawaida na hadi kufikia tarehe 31 Desemba, 2019 jumla ya Tshs 29,089,156,182.00 zimekusanywa na kupokelewa kutoka vyanzo mbalimbali hii ni sawa na 43%  








Announcements

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • TANGAZO LA KAZI NAFASI YA UDEREVA DARAJA LA II June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • CHANJO YA KUKU KUWANUFAISHA WAFUGAJI

    July 09, 2025
  • PROF NAGU AMEWATAKA WATUMISHI KADA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    July 08, 2025
  • WALIMU WA AJIRA MPYA WAMETAKIWA KUWEKA MIPANGO SAHIHI YA KAZI

    July 04, 2025
  • ELIMU YA FEDHA KUWAONGEZEA UFANISI WANUFAIKA WA TASAF

    July 03, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.