Kata ya Bugogwa ni moja ya kata 19 za Manispaa ya Ilemela ambapo kwa upande wa Mashariki imepakana na Kata ya Sangabuye, Kusini imepakana na Kata ya Shibula,Magharibi imepakana na Kata ya Shibula na upande wa Kaskazini imepakana na ziwa Viktoria.
Kata ya Bogogwa ina jumla ya Mitaa Kumi na Tano (15), Jumla ya kaya 7108 na jumla ya idadi ya watu ni 40698 ambapo wanawake ni 24666 na wanaume ni 17032.
Kiutawala Kata ya Bugogwa inaongozwa na Mheshimiwa Diwani Wiliiam Mashamba ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya kata na Katibu wake ni Mtendaji wa Kata ni Rashid Sukwa wakishirikiana na wataalam mbalimbali wa kwenye kata pamoja na wenyeviti na watendaji wa Mitaa.
Vyanzo vya mapato vya kata
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Anuani ya Posta: 735 MWANZA
Simu: + 255 736 200910
Simu:
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa