Mwenyekiti Kata ya Nyamhongolo ni miongoni kati ya kata 19 zinazoundwa na Manispaa ya Ilemela, ina jumla ya mitaa kumi na mbili (12).
Shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika kata ni ni:-Kilimo,ufugaji,biashara ndogondogo na viwanda.
Kata hii inajumla ya shule nne za serikali na moja binafsiKata hii ina jumla ya shule tano (5), ikiwa nne ni za serikali na moja ya binafsi(i) Shule ya msingi Nyamadoke (Serikali)(ii) Shule ya Msingi Nyamhongolo.(Serikali)(iii) Shule ya sekondari Ibinza (Serikali)(iv) Shule ya Sekondari Nyamhongolo.(v) Genesis Universal P/S (Binafsi
ZAHANATI YA NYAMHONGOLO Ni miongoni mwa Zahanati ( 20 ) za serikali zinazotoa huduma ya afya kwa jamii katika halmashauri ya manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza kwa kushirikina na vituo Binafsi, mashirika na taasisi za dini. Zahanati ya Nyamhongolo inahudumia Zaidi ya wakazi wapatao 10,825 kutoka kata ya 6Nyamhongolo pia kutoka mitaa Jirani kama Kanyama, Ndose, Busekwa, Mbugani n.k
MHE. ANDREA ANTHONY NGINILA- DIWANI
MECKTRIDA L. LYIMO MTENDAJI WA KATA
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.