• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZAHANATI YA MIHAMA MKOMBOZI WA WANANCHI

Posted on: June 22nd, 2023

" Kuanza kwa huduma katika zahanati hii ya Mihama ni ukombozi katika sekta ya afya kwetu sisi wana Mihama lakini hata kwa wageni na wakazi wa maeneo ya jirani ambao tumekuwa tukihangaika kwa muda mrefu kupata huduma za afya hospitali ya Sekoutoure,uwepo wake unaakisi takwa la ilani ya Chama Cha Mapinduzi na ahadi tuliyoitoa kwa wananchi mwaka 2020/2025.Tunajivunia kutimiza ahadi yetu kwa wakati kabisa."


Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM kata ya Kitangiri Enos Hange Masalu wakati akipokea wageni kutoka TASAF makao makuu Dodoma wanaoendelea na ziara yao ya siku tatu kukagua na kutembelea miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa ndani ya Manispaa ya Ilemela kupitia mradi wa kupunguza kaya maskini TASAF.


Akizungumzia suala la ushiriki wa jamii katika mradi huo Mwenyekiti wa kamati ya usimamizi wa mradi mtaa wa Mihama Elias Nyanda amesema jamii imeshiriki kikamilifu kwani ilipangiwa kuchangia kiasi cha shilingi milioni 10.3 na mpaka sasa imechangia kiasi cha shilingi milioni 10.2.


" Naushukuru uongozi wote wa Wilaya kuanzia Mbunge wetu Mhe.Angeline Mabula,Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe.Hassan Elias Masala, wataalam kutoka Manispaa na baraza la madiwani kwa kuendelea kunipigania kata ya Kitangiri kupata miradi zaidi ya maendeleo,mradi huu utakuwa msaada mkubwa kwa wananchi wote."


Nae mratibu wa mradi wa TASAF Ilemela Leonard Nyamgenda Robert amefafanua kuwa mradi umegharimu jumla ya kiasi cha shilingi milioni 187 ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 98 ya utekelezaji wake.


Aidha mradi wa ujenzi wa barabara ya Kabuhoro ndani ya kata ya Kirumba yenye urefu wa mitaa 780 ulitembelewa pia huku kukamilika kwake kukitajwa kurahisisha usafiri katika eneo hilo.


Akihitimisha ziara hiyo Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano TASAF Bi.Zuhura Mchungi amepongeza kazi inayoendelea.


" Hongereni kwa kazi nzuri jukumu letu ni moja tu kuhamasishana katika kuilinda na kuitunza miundo mbinu hii,tukumbuke hii ni fedha imewekwa hapa ni lazima tuonyeshe umiliki wa miradi yetu.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.