• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATENDAJI WA KATA ILEMELA WAPATIWA VITABU 160 VYA REJISTA ZA WAKULIMA

Posted on: August 17th, 2022

Vitabu 160 vya rejista za wakulima kwa ajili ya ruzuku ya mbolea vimetolewa kwa watendaji wa kata 19 za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa lengo la kupata takwimu sahihi na halisi za wakulima ili kuwezesha kusajiliwa katika mfumo rasmi kwa ajili ya kuja kupatiwa ruzuku ya mbolea hapo baadae.

Afisa Kilimo wa Manispaa ya Ilemela Bi.Neema Semwaiko akiwakabidhi vitabu hivyo  amewataka watendaji wa kata kuwa makini katika zoezi la usajili wa wakulima wote waliopo ndani ya maeneo yao ili kurahisisha zoezi la ugawaji wa mbolea.


Aidha Bi.Semwaiko amewasisitiza kuwa kila mkulima ataandikishwa mahali shamba lake lilipo hata kama wamiliki wa shamba ni zaidi ya mmoja atasajiliwa mtu mmoja tu kwa niaba ya wengine lengo likiwa kurahisisha zoezi la ugawaji punde taratibu zote zitakapokamilika.



“Wakulima wote watapaswa kusajiliwa hata kama mkulima amekodi shamba,atasajiliwa kama mmiliki kwa wakati huo kwani ndiye anaelitumia kwa kipindi hicho.” Amesema Semwaiko



Mpango huu wa ruzuku ya mbolea kwa wakulima unasimamiwa na mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania (TFRA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani wa mbolea ikiwemo tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI),serikali za mitaa,mabenki ya biashara na wafanyabiashara wa mbolea nchini.  


Nae mtendaji wa kata ya Bugogwa ndugu Mkono ameipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kilimo na kuwapunguzia mzigo wananchi wake katika masuala mazima ya kilimo na kuahidi kuunga mkono jitihada zote za serikali za kuleta maendeleo kwa wananchi wake akiamini kuwa ruzuku hii italeta chachu na tija katika suala zima la mapinduzi ya kilimo Ilemela na Tanzania kwa ujumla.



Katika bajeti ya mwaka 2022/2023 Serikali imetenga kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni150 kwa  nchi nzima kwa ajili ya ruzuku ya mbolea  ili kupunguza makali ya bei ya mbolea kwa wakulima sambamba na kuongeza uzalishaji wenye tija katika kilimo na kuwezesha utekelezaji wa ajenda 10/30 ya “kilimo ni Biashara”

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.