• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATENDAJI ILEMELA WATAKIWA KUWEKA NGUVU KATIKA SUALA LA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: September 28th, 2022

Mstahiki meya wa Manispaa ya Ilemela, Mhe. Renatus Mulunga amewataka watendaji kuweka nguvu katika suala la ukusanyaji wa mapato na kuwataka waheshimiwa madiwani kushirikiana na watendaji hao ili kuweza kufikisha lengo la ukusanyaji wa mapato.


Ameyasema hayo wakati akihitimisha kikao cha Baraza maalum ambalo limepokea na kujadili hesabu za mwisho za Halmashauri za mwaka wa fedha 2021/2022.


“Kuendesha halmashauri kunahitaji fedha hivyo watendaji hakikisheni mnaweka nguvu katika suala la ukusanyaji wa mapato na waheshimiwa madiwani niwatake kuunga mkono juhudi za watendaji katika suala zima la ukusanyaji wa mapato”, amesema Mhe Mulunga


Nae Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Hassan Masala akiwasilisha salam za serikali amelipongeza Baraza la Madiwani pamoja na timu ya wataalam chini ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa namna Halmashauri inavyoendelea kupiga hatua katika kuwahudumia wananchi wa Ilemela.

“Ni wajibu wetu kuhakikisha kuwa tunazitatua changamoto za wananchi ikiwa ni pamoja na kusimamia vyema suala zima la ukusanyaji mapato sambamba na miradi ya maendeleo”. Amesema Mhe Masala


Nao waheshimiwa madiwani wa Manispaa ya Ilemela kwa nyakati tofauti wamempongeza Mkurugenzi na timu ya wataalam kwa namna ambavyo miradi ya maendeleo inatekelezwa katika kila kata, na kusema kuwa Ilemela inaendelea kupiga hatua kila mwaka ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Pamoja na hayo wamewataka watendaji kuhakikisha wanafanyia kazi maelekezo yote yaliyotolewa ili kuhakikisha kuwa Ilemela inaendelea kupata hati safi kama ilivyo kwa miaka mingine.


Akiwasilisha taarifa hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi,  Mweka Hazina wa Manispaa ya Ilemela Ndugu Julius Ndyanabo amesema kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kama ilivyo halmashauri zingine kwa mujibu wa sheria ya serikali za mitaa ya mwaka 1982 kifungu Na. 40 (Pamoja na marekebisho yaliyofanyika mwaka 2000) imekamilisha ufungaji wa hesabu za mwisho na baadae kuziwasilisha kwa mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali(CAG)

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.