• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MKUU WA WILAYA YA ILEMELA ALIPONGEZA BARAZA LA MADIWANI

Posted on: May 8th, 2017

MKUU WA WILAYA YA  ILEMELA ALIPONGEZA BARAZA LA MADIWANI

Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mheshimiwa Daktari Leonard Masale amelisifu na kulipongeza baraza la madiwani la manispaa hiyo kwa namna linavyoshughulikia matatizo ya wananchi na kuweka maslahi ya umma mbele katika kutekeleza shughuli za kimaendeleo.

Hayo ameyasema wakati wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo kwa kupokea na kuzijadili shughuli na miradi iliyofanyika kwa robo ya tatu

‘… Ndugu zangu madiwani kwanza niwashukuru sana na naomba nikiri mheshimiwa mwenyekiti baraza lako ni la maendeleo hata maswali yanayoulizwa ni ya kujenga ukienda mabaraza mengine saa nzima wanajadili maslahi ya madiwani nyie mnajadili maslahi ya wananchi ninawapongeza na sasa nimethibitisha ule usemi wenu kwamba Ilemela ni yetu, Tushirikiane kuijenga …’ Alisema

Aidha Mheshimiwa Daktari Masale ameshukuru kwa ushirikiano anaoupata kwa kuungana pamoja katika vita dhidi ya madawa ya kulevya na katika kuwaletea wananchi wa Ilemela maendeleo huku akitaka kuharakishwa kwa kuanzishwa jukwaa la wanawake la wilaya hiyo

Kwa upande wake mwenyekiti wa kikao hicho na Naibu Meya wa manispaa hiyo mheshimiwa Shaban Maganga mbali na kushukuru kwa pongezi hizo amemuhakikishia mkuu huyo wa wilaya kuwa manispaa yake itaendelea kuwa chemchem ya maendeleo kwa kuweka maslahi ya umma mbele na kuongeza ushirikiano na umoja katika kuwatumikia wananchi

Nae mkurugenzi wa manispaa hiyo ndugu John Wanga amesema kuwa atahakikisha anashirikiana na wataalamu wake katika kutekeleza maelekezo yote waliyokubalina katika kuleta maendeleo ya haraka na yenye tija kwa wananchi huku akiasa ushirikishwaji wa wananchi katika kutafuta maeneo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ofisi za kata ambazo zimeshatengewa bajeti

‘… Niwaombe madiwani tukatafute maeneo ya kujenga ofisi zetu na mkiangalia kwenye bajeti yetu mtaona tumetenga fedha za kujenga ofisi hizo …’ Alihitimisha


Announcements

  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA October 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -JIMBO LA ILEMELA October 14, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO 2879 WAAPISHWA,WAMEASWA KUZINGATIA SHERIA KANUNI NA MIONGOZO

    October 26, 2025
  • ILEMELA KUBORESHA LISHE MASHULENI, DC MKALIPA AKABIDHI MBEGU NA MBOLEA

    October 25, 2025
  • DC MKALIPA AMEWATAKA WATUMISHI IDARA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 24, 2025
  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA YAANZA KUTOA HUDUMA ILEMELA

    October 20, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.