• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MBUNGE WA JIMBO LA ILEMELA ASIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA SOKO LA SAMAKI MWALONI KIRUMBA

Posted on: January 9th, 2018

Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe. Dkt. Angeline Mabula akiambatana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela John Wanga pamoja na baadhi ya watendaji, siku ya jumamosi tarehe 6/1/2018 alitembelea soko la samaki mwaloni Kirumba kwa lengo la kusikiliza  kero  na changamoto za wafanyabiashara wa soko hilo. Baada ya kusikiliza kero hizo kutoka kwa wafanyabiashara aitolea ufafanuzi masuala mbalimbali na kisha kutoa maelekezo yafuatayo:

Kuhakikisha kuwa udhibiti wa samaki wanaovuliwa unakuwepo na wavuliwe kati ya Sentimeta 50 hadi 85 na si kinyume na hapo, aidha amewataka wanaokagua samaki hao kuzingatia tu samaki pindi anapokaushwa ni lazima uito utapungua hivyo busara ni lazima zitumike katika suala hilo iwapo tu samaki kama walivuliwa katika sentimeta zinazostahili.

Mhe Mbunge alimtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela kuwachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya watumishi wa serikali wanaohujumu wafanyabiashara wa sokoni hapo.


Aliagiza daraja la pili lijengwe katika soko hilo kwa ajili ya kupakia na kupakua mizigo kupunguza msongamano na hivyo kumuagiza Mkurugenzi kuliweka suala hili katika bajeti ya 2018/2019


Pia Aliagiza kuwa wafanyabiashara wanaouzia bidhaa zao nje ya soko waingie ndani.


Pamoja na hayo alisisitiza kuwa hairuhusiwi mtu yoyote kutoka nje ya nchi na kwenda kununua samaki visiwani na kuzileta katika soko hilo.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 November 21, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 November 21, 2025
  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA October 16, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • ILEMELA YAANZA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI 2026/2027

    November 25, 2025
  • "UPANDAJI WA MICHE YA MATUNDA UWE ENDELEVU";DC MKALIPA

    November 20, 2025
  • WATAHINIWA 7912 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2025 MANISPAA YA ILEMELA

    November 17, 2025
  • DC MKALIPA AHIMIZA VIKAO NA WAZAZI JUU YA MASUALA YA LISHE MASHULENI

    November 17, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.