• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MBUNGE ILEMELA AHIMIZA WANANCHI KULIPA KODI KWA MAENDELEO

Posted on: December 21st, 2018

Mbunge wa Jimbo la Ilemela na Naibu Waziri wa ardhi,Nyumba ,Maendeleo ya Makazi, Mhe.Daktari Angeline Mabula amewahimiza wananchi kuwa wazalendo na kuhakikisha kuwa wanalipa kodi kwa ajili ya kujjiletea  maendeleo.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa mitaa ya Gedeli na Nyakato sokoni iliyopo katika  kata ya Nyakato katika ziara ya kikazi jimboni. Ametumia fursa ya ziara hiyo kuwasisitiza juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili Serikali iweze kuwahudumia na kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo

  “ Ili kuweza kupata huduma za kijamii pamoja na kuwa na maendeleo mbalimbali sisi wananchi tunatakiwa kuwa wazalendo kwa kuhakikisha kuwa tunalipa kodi kwani huo ni wajibu wetu sote”, alisisitiza

Aidha, ameipongeza idara ya Ardhi ya Manispaa ya Ilemela kwa juhudi kubwa wanazoendelea nazo katika kushughulikia kero na migogoro mbalimbali ya ardhi huku akiwahakikishia wananchi wake kuwa hakuna ucheleweshwaji wa hati miliki kama utakuwa umekidhi vigezo na masharti yote muhimu yanayohitajika.


Kwa upande wake afisa ardhi wa Manispaa ya Ilemela, Shukrani Kyando amewataka wananchi waliokwisha milikishwa viwanja kuhakikisha wanavilinda na kusisitiza kuwa si jukumu la serikali kisheria kulinda kiwanja cha mtu baada ya kumilikishwa.

Nae Diwani wa kata ya Nyakato Mhe. Alfred Wambura amemshukuru mbunge huyo kwa kuipa nafasi ya kipekee kata yake kwa kukubali kufanya mikutano miwili kwa siku moja katika mitaa miwili tofauti ya kata ya Nyakato huku akiahidi kumuunga mkono kwa kumpa ushirikiano.


Ziara hii ya Mbunge wa Ilemela,  ni muendelezo wa ziara zake ikiwa ni utaratibu aliojiwekea wa kutembelea kata zilizopo katika jimbo lake kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi pamoja na kuongea na wananchi wa kata hizo.




Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.