• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

KUANZA KWA STENDI MPYA YA MABASI YA NYAMHONGOLO- WANANCHI WAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI YA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN

Posted on: August 16th, 2022

Wananchi mbalimbali waliofika katika stendi mpya ya mabasi ya Nyamhongolo wamepongeza jitihada za Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa hatua ya ukamilishaji wa stendi hii.



Katika nyakati tofauti wananchi waliofika katika stendi hii mpya kwa ajili ya kupata huduma ya usafiri wamepongeza kwa kusema kuwa ni stendi ya kisasa yenye mandhari nzuri ya kuvutia, eneo kubwa la kupumzikia wasafiri pamoja na kupaki magari tofauti na ilivyokuwa stand ya zamani ya mabasi ya Buzuruga, huku wakiiomba Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kuzitatua changamoto ndogondogo ili kuweza kukidhi mahitaji ya wasafiri


Nao wafanyabiashara waliopo katika stendi ya Nyamhongolo wakiwemo wamepokea kwa furaha kuanza kutumika kwa stendi hii kwani kwao ni fursa kubwa kibiashara kwani kutawaongezea wateja huku wakishauri ikiwezekana iwe ni Stendi ya Mkoa ili kuwaongezea kipato chao huku wakihimiza ustaarabu katika matumizi ya stendi hii  kudumishwa na kuahidi ushirikiano kwa Manispaa ya Ilemela.


Mhandisi Modest Apolinary, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu kwa kutoa kipaumbele kwa Ilemela na kutoa fedha zilizofanikisha ukamilishaji wa stendi hii kubwa na ya kisasa huku akiwakaribisha wananchi kutumia fursa ya uwepo wa stendi hii kufanya biashara ili kuweza kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla


Stendi hii ambayo ilianza kujengwa mwaka 2019 na kukamilika mwezi wa nne mwaka 2022 imegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 26. 6 za kitanzania fedha kutoka Serikali kuu  ikiwa imegawanyika katika maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la kuegesha malori takribani 80, eneo la stendi ya mabasi yenye uwezo wa kubeba mabasi 120, jengo la hoteli lenye vyumba 100, eneo la gereji, eneo la godown lenye uwezo wa kuchukua tani 5400, pamoja na maduka takriban 146.








Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.