• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

JAMII YATAKIWA KUSIMAMIA MALEZI BORA

Posted on: April 27th, 2023


Jamii imetakiwa kusimamia malezi bora kwa watoto ili kupunguza vitendo vya ukatili na unyanyasaji vinavyoendelea kushika kasi ndani ya familia.

Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Hasan Elias Masala wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi katika kata za Kitangiri na Pasiansi ambapo amewataka wazazi, walezi, walimu na viongozi wa dini kuhakikisha wanaripoti na kudhibiti vitendo viovu wanavyofanyiwa watoto wadogo ili kulinda vizazi na taifa kwa ujumla.

'.. Ndugu zangu kupanga ni kuchagua, Matukio ya ubakaji, ulawiti yanaongezeka siku hadi siku tukichagua kukaa kimya tutaharibu taifa ..' Alisema

Aidha Mhe Masala mbali na kumpongeza Rais Mhe Dkt Samia na Serikali yake kwa hatua wanazochukua, ameitaka jamii kutochagua aina ya matukio ya kuripoti na aina ya watoto wa kuwasaidia kwa kuwa watoto wote ni mali yao.

Kwa upande wake katibu tawala wa wilaya ya Ilemela Ndugu Said Kitinga amewataka wananchi kutumia ofisi yake kwa ajili ya kuwasilisha changamoto mbalimbali wanazozipata pindi wanapofuata huduma katika ofisi zilizo chini ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo.

Nae mwakilishi wa Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela ambae pia ni mganga mkuu wa wilaya hiyo Daktari Samson Marwa amewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Marburg na kipindupindu  kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha sanjari na kusisitiza ushiriki wa zoezi la chanjo ya Surua Rubela kwa watoto na mabinti .
Vicent Malinyo kutoka eneo la Bwiru Ziwani ni miongoni mwa wananchi waliopata fursa ya kuwasilisha kero zao kwa mkuu huyo wa wilaya ambapo amelalamikia urasimu unaosababishwa  na viongozi wa mwalo huo kwa kuwazuia baadhi ya wavuvi wasivue huku wengine wakiruhusiwa kinyemela kwa kutoa rushwa suala ambalo limechukuliwa na uongozi wa Wilaya kwa ajili uchunguzi na kulipatia majibu kwa wakati.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.