• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAUNGANA NA WAFANYAKAZI NCHINI KUADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Posted on: May 1st, 2024

Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wakiongozwa na Mkurugenzi wao Bi Ummy Wayayu wameungana na wafanyakazi nchini kusherehekea siku ya wafanyakazi duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe Mosi mwezi Mei ya kila Mwaka.


Mgeni rasmi wa  Maadhimisho hayo ambayo kimkoa yamefanyika  Wilaya ya Ilemela Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  amewapongeza wafanyakazi bora na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa uaminifu nidhamu na maarifa makubwa


Sambamba na hilo Mhe Mtanda akatoa wito kwa  wafanyakazi kutojihusisha na vitendo vinavyoenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma ikiwemo rushwa kwani vitendo hivi vinachafua taswira ya utumishi wa umma na vinaondoa haki ya wananchi kupata huduma mbalimbali, na kusisitiza kuwa hatavumilia vitendo hivyo vinavyopelekea wananchi kukosa huduma stahiki na kwa wakati unaotakiwa.


Pamoja na hayo Mhe Mtanda  amekemea tabia ya mazoea ya kupeana zawadi ifikapo Mei Mosi bila kuzingatia sifa na uhodari wa mfanyakazi huyo, huku akiamini kuwa  waliopata ufanyakazi hodari  ni wale wanaostahili ili iwe   kichocheo kwa wafanyakazi wengine.


Mkuu wa Mkoa  amewataka wafanyakazi kuhakikisha wanatafuta vyanzo vingine vya mapato vilivyo halali vya  kuwaongezea kipato kuliko kutegemea mshahara ambao haujawahi kutosha.


Mhe Mtanda amehitimisha kwa kuhimiza suala la heshima kazini baina ya mwenye cheo kikubwa na mwenye cheo kidogo huku akisisitiza kufanya kazi kwa upendo na kushirikiana na kuepuka kufanyiana fitna.


Maadhimisho ya mei mosi 2024 yamepambwa na kauli mbiu  isemayo, "Nyongeza ya mshahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha"


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.