• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAPONGEZWA KUONGOZA ZOEZI LA URASIMISHAJI MAKAZI NCHINI

Posted on: April 7th, 2020

Halmashauri ya manispaa ya Ilemela imepongezwa kwa kufanya vizuri katika zoezi la urasimishaji makazi na umilikishaji wa ardhi ambapo hadi sasa imefanikiwa kuandaa michoro ya mipangomiji 58,000, kupima viwanja 52,000 na kumilikisha jumla ya viwanja 72,000.

Akizungumza katika viwanja vya manispaa hiyo, Naibu waziri wa wizara ya  ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mhe Dkt Angeline Mabula amewapongeza viongozi wa Manispaa ya Ilemela kwa kasi ya uendeshaji wa zoezi hilo ukilinganisha na halmashauri nyingine nchini ambazo zimekuwa zikisuasua katika kutekeleza zoezi hilo la urasimishaji wa makazi kwa kupima na kumilikisha viwanja vichache


‘.. Naipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, kwani kitaifa inaongoza kwa kupanga, kupima na kumilikisha ardhi.’ Alisema

Aidha Naibu Waziri Mabula amewataka wananchi nchini kuhakikisha wanaitumia vizuri fursa ya urasimishaji makazi kwa kuhakikisha wanapima maeneo yao, wanalipia gharama za hati miliki ili waweze kumilikishwa kwani zoezi hilo ni endelevu na linalenga kuwanufaisha wananchi wote wa hali zote ndani ya Wilaya ya Ilemela na maeneo mengine nchini.


Kwa upande wake afisa ardhi na mipango miji wa manispaa ya Ilemela Ndugu Shukran Kyando amesema kuwa walipewa lengo la kuandaa michoro ya mipango miji 16,000 kupima viwanja 16,000 na kumilikisha viwanja16,000 tofauti na uhalisia ambapo hadi sasa wameweza kuandaa michoro, kupima na kumilikisha hati 27,000 ambayo ni zaidi ya lengo kusudiwa.

Nae afisa mipango miji mkoa wa Mwanza Deogratias Kalimenze ameelezea kuwa sera ya ardhi ya mwaka 1995 na sera ya makazi ya mwaka 2000 zote kwa pamoja zimeanisha kuwa maeneo yote ya mjini ambayo hayakupangwa na kupimwa kwa utaratibu unaokubalika yatarasimishwa na kumilikishwa.

Moja ya wananchi waliokabidhiwa hati miliki kutoka mtaa wa Nyasaka Bi Stella George ameishukuru Serikali na kupongeza zoezi hilo kwani litasaidia kutatua migogoro ya ardhi isiyokuwa ya lazima.


Jumla ya hati 1508 zilitolewa kwa wananchi wa Manispaa ya Ilemela na Naibu Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.