• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Utumishi na Utawala
        • Mipango na ufuatiliaji
        • Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Sekondari
        • Elimu ya Awali na Msingi
        • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
        • Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Miundombinu na Uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Vitengo
        • Mazingira na Usafishaji
        • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
        • Michezo, Utamaduni na Sanaa
        • Fedha na Uhasibu
        • Sheria
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Manunuzi
        • TEHAMA na Takwimu
        • Mawasiliano Serikalini
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAKIDHI VIGEZO VYA KUTEKELEZA MIRADI MINNE

Posted on: January 19th, 2023

Halmashauri ya manispaa ya Ilemela imekidhi vigezo vya kutekeleza miradi minne kati ya tisa iliyowasilisha kupitia mradi wa Green and Smart Cities Sasa chini ya ufadhili wa umoja wa ulaya.


Hayo yamebainishwa mara baada ya kupokea matokeo ya uchambuzi wa miradi mikubwa ya maendeleo iliyoambatana na wa majadiliano ya tathmini ya awali ya mnyororo wa thamani wa chakula ( food value chain) na mfumo wa kibiashara ( trade systems) yenye lengo la kuboresha mnyororo wa thamani wa chakula na mfumo wa mazingira ya kibiashara katika manispaa ya Ilemela.


Taarifa ya tathmini hiyo iliwasilishwa na kampuni ya triple line ya  nchini Uingereza ambayo ilipewa kandarasi hiyo na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD) ambalo litafadhili miradi hiyo kupitia program ya Green and Smart Cities sasa inayo itakayo tekelezwa katika manispaa ya ilemela chini ya ufadhili wa umoja wa ulaya.


Kutokana na vigezo vilivyo ainishwa na AFD kwamba ili mradi uweze kupita inapaswa  uwe na mchango wa kiuchumi (uzalishe mapato) na pia uweze kutoa fursa kubwa ya ajira; Hivyo kutokana na tathmini hiyo, miradi minne ambayo imekidhi vigezo ni pamoja na mradi wa Uboreshaji wa mwalo wa old igombe, Uboreshaji wa mwalo wa new igombe, Uboreshaji wa soko la samaki la mwaloni pamoja na Ujenzi wa  soko la kisasa la buswelu.

Naye mwakilishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMIi katika kikao hicho Ndugu Shaban Ghuhia ameshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na menejimenti ya manispaa ya ilemela katika utekelezaji wa kazi hiyo ambayo imechukua takribani miezi sita tangu june 2022 hadi desemba 2023. Huku akiahid kuendeleza ushirikiano wa dhati ili katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya wana ilemela na watanzania kwa ujumla.


Mradi wa Soko la Buswelu tumeutembelea tena na tumekubaliana kwamba utakuwa mkubwa na utahusisha ujenzi wa soko, ring roads kuzunguka soko na  ujenzi wa kituo cha daladala kilichopo pembezoni mwa soko/ mkabala na sheli ya ASHICO na kuweka taa za barabarani kuzunguka soko alisema ndugu Nicos Papachristodoulous ambae ni Mkuu wa maendeleo jumuishi  kutoka Kampuni ya Triple line


Wataalam kutoka kampuni ya Tripple line walihitimisha kwa kusema kuwa taarifa ya miradi hiyo itawasilishwa AFD na hatua ya kuja kwa mtaalamu wa kufanya  upembuzi yakinifu itafuata.



Announcements

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2022 SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI MANISPAA YA ILEMELA January 29, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAPOKEZI YA FEDHA September 30, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KATIKA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA JULAI-SEPTEMBA 2022 October 11, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 December 01, 2022
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • BARAZA LA BIASHARA ILEMELA LAHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA

    March 18, 2023
  • JAMII YA ILEMELA YATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

    March 11, 2023
  • WANANCHI ILEMELA WAPONGEZWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    March 11, 2023
  • WADAU WA MAENDELEO WAENDELEA KUUNGUA JUHUDI ZA SERIKALI

    March 02, 2023
  • Tazama zaidi

Video

FAHAMU KUHUSU MFUMO WA TAUSI
More Videos

Quick Links

  • Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura
  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip
  • Maombi ya leseni ya biashara

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.