• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Ilemela yaanza utekelezaji wa mradi wa kupima, kupanga na kumilikisha ardhi

Posted on: January 10th, 2022

Na Paschalia George, Afisa Habari  

Takribani viwanja 2000 vitapimwa katika mitaa ya Nyamiswi, Igalagala, Sangabuye, Nyafula na Ilekako Isanzu na Igogwe katika kata za Sangabuye na Bugogwa za Halmashauri ya Ilemela.


Upimaji wa viwanja hivi ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa kupima, kupanga na kumilikisha ardhi katika Manispaa ya Ilemela kupitia fedha za mkopo usio na riba kiasi cha shilingi Bil.3.6 kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.


Katika hatua za awali za utekelezaji wa mradi mikutano na wananchi wa mitaa husika imefanyika yenye lengo la kutambulisha, kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya ujio wa mradi huo.


Akizungumza katika moja ya mikutano hiyo, Francis Mwangwa, Afisa Mipangomijji wa Manispaa ya Ilemela alieleza kuwa, nia ya serikali ni kuhakikisha miji yote nchini inapangwa vizuri kwa kuzingatia sheria za mipango miji sambamba na kuhakikisha huduma zote za msingi za kijamii kama vile uwepo wa maeneo ya makaburi,shule,hospitali na masoko vinapatikana.


“Zoezi hili ni la lazima kwetu kwa sasa kutokana na ongezeko la watu na ukuaji wa haraka wa manispaa yetu”,Alisema Mwanga akiongeza kuwa wananchi wote wenye maeneo katika eneo la mradi watapewa kipaumbele kubaki katika maeneo yao kwa utaratibu maalum sambamba na kulipwa fidia stahiki ili kupisha shughuli za maendeleo kwa faida ya wengi.


Aidha ilielezwa kuwa ipo miongozo na sheria za ardhi itakayofatwa katika zoezi zima la kuthaminisha ardhi na mali zake na kuwa hakuna mwananchi atakaedhulumiwa au kuonewa hivyo wananchi wametakiwa kuwa na uvumilivu katika kipindi cha zoezi hili hususan uthamini ambao unatarajiwa kuanza hivi punde.


Juma Shija ni mkazi wa mtaa wa Isanzu ameshukuru kwa ujio wa mradi huo huku akisistiza ulipwaji wa fidia uwe kwa wakati ili kuruhusu watu kuanzisha shughuli zingine za kiuchumi kwani wananchi wengi wa maeneo hayo wanaishi kwa kutegemea ardhi zao kwa shughuli za kilimo.



Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.