• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

HATI 178 ZATOLEWA KWA WANANCHI WA ILEMELA

Posted on: February 16th, 2019

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe.Dkt. Angeline Mabula na Mbunge wa jimbo la Ilemela leo tarehe 16.02.2019 ametoa hati 178 kwa wakazi wa Ilemela ambao walifanyiwa urasimishaji wa makazi yao.

Akitoa hati hizo amewahimiza wananchi ambao hawajalipia gharama za kupata hati kuhakikisha wanalipia ili waweze kupata hati kwani kupimiwa ardhi pasipo kuwa na hati haitasaidia.

"Kupimiwa ardhi, kuonyeshwa mipaka peke yake haitakusaidia kama hutakuwa na hati ambayo ndio salama ya miliki yako",alisistiza.


Aidha amesema kuwa kila mwananchi atii sheria za nchi, kufanya kazi kwa bidii, na kulipa kodi na moja wapo ikiwa ni kodi ya pango la ardhi ili kuweza kuiletea nchi maendeleo kupitia kodi hizo.


Pamoja na hayo ameipongeza Ilemela kwani imevuka lengo lililowekwa na wizara la kurasimisha makazi 16,000 na badala yake Ilemela imeweza kupima viwanja 42,000.


Halikadhalika amesema kuwa wale wasiokuweo katika mpango huu wa urasimishaji pamoja na wasio katika mipangomiji kutakuwa na zoezi la utoaji leseni ya makazi ambayo itakuwa ni ya kipindi cha miaka mitano na itagharimu kiasi cha Tsh.5000 ukiongeza na gharama zingine za upimaji ambazo zitabainishwa hapo baadae.


Utoaji huo wa leseni hizo za makazi utafanyika ili kuweza kuwatambua wale wote ambao hawapo katika mipango miji na ambao hawakupitiwa na zoezi hili la urasimishaji na kuwaingiza katika mfumo wa ardhi na hapo baadae watapatiwa hati ya miaka 99.


Nae Diwani wa kata ya Mecco ambapo zoezi la utoaji hati lilifanyika, Mhe Godlisten Kissanga amewahimiza wananchi kuhakikisha wanalipia hati ili waweze kupatiwa hati ambazo zitawasaidia katika masuala mbalimbali.

Nae Mkurugenzi wa Ilemela John Wanga amewasihi wananchi hao pindi wapatapo hati hizo wahakikishe kuwa wanazitumia vizuri kwa mambo yenye kuleta tija kwao na maendeleo ya Taifa.

Hadi sasa Ilemela imetoa jumla ya hati 15,786 ambayo ni sawa na asilimia 38% ya wananchi wote waliopimiwa.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.