• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

DC MKALIPA AMEWATAKA WATUMISHI IDARA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Posted on: October 24th, 2025

"Endeleeni kutoa huduma ya kuwatumikia watanzania, endeleeni kutunza rasilimali na miundombinu ya afya , pamoja na dawa zinazokuja"

 

Ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe Amir Mkalipa wakati akifunga kikao kazi cha tathmini ya utendaji kazi wa idara ya afya katika kipindi cha miezi sita siku ya jumatano ya tarehe 22 oktoba 2025.

 

Aidha Mhe Mkalipa, aliwapongeza idara ya afya kwa kazi kubwa ambayo wamekuwa wakiifanya kwani hajapokea malalamiko kutoka kwa wananchi hivyo ni tafsiri ya kuwa wanatimiza wajibu wao wa msingi

 

"Sisi tumewapeni imani yetu, ninajua imani yetu tuliyowapa mtaenda kutulipa kwa kuwatumikia wananchi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kipande tulichopewa cha wilaya ya Ilemela", Alisema Mhe Mkalipa

 

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Bi Ummy Wayayu, pamoja na kuwapongeza kwa kazi kubwa ambayo idara ya afya imekuwa ikiifanya ya kuwahudumia wananchi, amemuahidi Mkuu wa Wilaya kuwa atahakikisha vituo vyote vya kutolea huduma za afya vinatumia mfumo wa GotHOMIS katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya vituo hivyo.

 

"Nitahakikisha nasimamia vituo vyote vinakusanya kwa kutumia mfumo wa GoTHOMIS, kwani kuna faida kubwa ya kutumia mifumo kwani tunaongeza fedha za makusanyo ambayo mwisho wa siku yana faida kubwa katika vituo vya afya na zahanati ambapo wataweza kuendesha shughuli zao kupitia mapato hayo kuliko kutegemea fedha za wadau", Alisema Mkurugenzi Ummy

 

Akibainisha lengo la kikao kazi hicho, mganga mkuu wa Manispaa ya Ilemela, Bi Maria Kapinga alisema kuwa lengo ilikuwa ni kufanya  tathmini ya utendaji kazi wa idara ya afya wa miezi  6 kwa kipindi cha kuanzia mwezi April hadi Sept 2025 ili kuendelea kuboreshaji wa huduma za afya ndani ya manispaa ya Ilemela, sambamba na kuwatambua viongozi bora, vituo vilivyofanya vizuri katika Basket Fund, vituo vilivyofanya vizuri katika huduma za chanjo vituo vilivyofanya vizuri katika usimamizi wa mapato kwa kuwapatia vyeti vya pongezi.

 

Kikao hicho kilihusisha timu ya usimamizi wa huduma za Afya (CHMT), waganga wafawidhi wa vituo, matron na patron wa vituo, makatibu wa afya na wahasibu wa vituo.

 

 

 

 

Announcements

  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA October 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -JIMBO LA ILEMELA October 14, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • DC MKALIPA AMEWATAKA WATUMISHI IDARA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 24, 2025
  • DC MKALIPA AMEWATAKA WATUMISHI IDARA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 24, 2025
  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA YAANZA KUTOA HUDUMA ILEMELA

    October 20, 2025
  • TIMU YA MENEJIMENTI ILEMELA YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    October 16, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.