• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

BEZI WAASWA USAFI MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA NA LISHE MTAA KWA MTAA

Posted on: September 13th, 2024

Wakazi wa mtaa wa Bezi ambao ni eneo la kisiwani linalopatikana ndani ya kata ya Kayenze wamenufaika na huduma zilizotolewa katika siku ya afya na lishe ya mtaa kwa kupatiwa huduma za wajawazito, matibabu ya watu wazima na watoto, elimu ya uzazi wa mpango, ushauri wa lishe bora,chanjo sambamba na jiko darasa.

Akizungumza na wakazi hao Bi.Joyce Robert Afisa lishe wa kituo cha Afya Buzuruga amesema ni wajibu wa watu wote kuzingatia usafi katika maandalizi ya chakula chochote kabla ya kula ili kuepukana na maradhi yatokanayo na uchafu kama kuhara na kipindupindu.

" Naongelea lishe bora,bila usafi ni kazi bure."

Aidha wananchi wa Bezi wameaswa kuwa na mpangilio mzuri wa ulaji hasa kwa watoto kwa kuzingatia mchanganyiko na uwiano sahihi wa chakula kutoka makundi yote matano ya vyakula .

"..Tunawakaribisha sana kwa wakati mwingine tena kwani ujio wenu umeturahisishia safari za kuvuka kwenda hospitali za nchi kavu tumefurahi na kujisikia kumbe hata sisi wa visiwani tunakumbukwa.." amesema Starico Said mkazi wa mtaa wa Bezi .

Announcements

  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • TANGAZO LA KAZI NAFASI YA UDEREVA DARAJA LA II June 04, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI WAFIKIA TAMATI KATIKA MANISPAA YA ILEMELA

    August 19, 2025
  • JAMII YAHIMIZWA KUSHIRIKIANA KATIKA UNYONYESHAJI NA MAKUZI YA MTOTO

    August 07, 2025
  • WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA;ELIMU YATOLEWA KWA WAKINA MAMA

    August 06, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    August 05, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.