Kata ya Kitangiri ni miongoni mwa kata 19 zinazounda manispaa ya Ilemela. Upande wa mashariki inapakana na Kata Nyamanoro, Upande wa kasikazini inapakanana Kata ya Ibungilo, upande wa kusini inapakana,na Kata ya Kirumba, upande wa magharibi inapakana na ziwa Victoria.
2.0: IDADI YA WATU
kata ya Kitangiri ina jumla ya watu 20,802 kati yao ME ni 10,925, na KE 9,877. Pia inajumla ya kaya 5,039, hii ni kwa mujibu wa sense ya mwaka 2012.3.0: HALI YA UCHUMIKatika Kata ya Kitangiri hali ya uchumi sio mbaya sana ni ya kuridhisha kwani watu wake wanajishughulisha na shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogo ndogo, uvuvi, kilimo cha mbogamboga na ajira rasmi. Hivyo kulifanya eneo kuwa changamfu na kuwa na idadi kubwa ya watu
DIWANI: MHE.DONARD N. PROTAS KATIBU M/ KITI WDC
MTENDAJI WA KATA: NHKILO
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.