Thursday 18th, April 2024
@Wilaya ya Ilemela
Mwenge wa Uhuru 2018 utapokelewa katika Wilaya ya Ilemela katika viwanja vya MWATEX Kata ya Nyakato kuanzia saa moja kamili asubuhi siku ya tarehe 01/09/2018 ukitokea Wilaya ya Nyamagana.
Mwenge wa Uhuru 2018 utakagua,utafungua na kuweka mawe ya msingi katika miradi 8 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi za kitanzania 1,912,499,950.27 Tu.
Mkesha wa Mwenge utafanyika katika viwanja vya Furahisha Kata ya Kirumba na kisha kukabidhiwa Wilaya ya Ukerewe siku ya tarehe 02/09/2018
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.