• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZOEZI LA UTOAJI WA MATONE YA VITAMIN A;WATOTO 66,396 WAFIKIWA

Posted on: June 28th, 2024

Takribani watoto 66396 wamefikiwa na watoa huduma za afya katika kampeni ya kitaifa ya mwezi wa afya na lishe ya mtoto ikiwa ni sawa na asilimia 100.2 ya lengo lililokuwa limewekwa la kufikia watoto  66,381.


Kupitia kampeni hiyo, kitengo cha lishe chini ya Idara ya Afya Ilemela kilikadiria kuwafikia watoto 66381 kati yao, 9,022 wa miezi 6 hadi 11 na watoto 57,359 ni wa miezi 12 hadi 59.


Akizungumza wakati wa zoezi la kukagua maendeleo ya ugawaji wa matone hayo afisa lishe wa manispaa ya Ilemela Bi Pili Kasimu amesema kuwa hadi kufikia tarehe 28 Juni 2024, watoto 9034 wa miezi 6 hadi 11 na watoto 57,362 wa miezi 12 hadi 59 sawa na jumla ya watoto 66,396 ikiwa ni asilimia mia moja ya lengo lililokuwa limekusudiwa walikuwa wamepatiwa matone ya vitamin A


Aidha Bi Pili amewataka wazazi na walezi kuendelea kuwapeleka watoto katika vituo vya kutolea huduma hata baada ya kampeni hiyo kwa kuwa huduma hiyo itakuwa ikiendelea kutolewa vituoni kama kawaida sanjari na kuendelea kuwatoa hofu wazazi na walezi juu ya usalama wa huduma hiyo


Bi Esha Mahizo Mtoa huduma wa zahanati za Nyerere iliyopo kata ya Buswelu na Bi Enisa Mbilinyi kutoka zahanati ya kata ya Kahama wametoa pongezi kwa viongozi wa Serikali za mitaa yao kwa kuhamasisha wananchi kujitokeza na kushiriki zoezi hilo kwa wingi wakaongeza kusema kuwa utekelezaji wa ugawaji wa matone ya vitamin 'A' katika maeneo yao


Kwa upande wake mzazi wa mtoto Grecious Nyagabona Bi Justina Michael mbali na kuwasisitiza wazazi wenzake kuwaleta watoto vituoni kupata matone ya vitamin 'A' ameiomba serikali kuendelea na kampeni mbalimbali za namna hiyo kwani zinasaidia kutoa msisitizo kwa wazazi na walezi kuwaleta watoto vituoni kupata na huduma nyingine za kiafya


Kampeni ya kitaifa ya mwezi wa afya na lishe chini ya kauli mbiu “Matone ya Vitamin A ni Bora kwa Ukuaji Watoto wetu”, imedumu kwa mwezi mmoja  ambapo watoto wote waliofika katika vituo vya kutolea huduma wamefikiwa na wengine kufuatwa katika maeneo yao kwa kufanya outreach (Huduma za mkoba) na maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe ya Mtaa (SALIM).


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.