• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZAIDI YA WATOTO 92,409 WANUFAIKA NA DAWA ZA KINGA YA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO

Posted on: July 20th, 2017

ZAIDI YA WATOTO 92,409 WANUFAIKA NA DAWA ZA KINGA YA KICHOCHO  NA MINYOO YA TUMBO


Zaidi ya watoto 92,409  wanaoishi wilaya ya Ilemela wamenufaika na zoezi la umezeshwaji wa dawa za kukinga na kutibu ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo ikiwa ni mkakati wa Serikali katika kupambana na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele.

Hayo yamesemwa na Bi Gisela Orasa mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (NTD)  kutoka wilaya ya Ilemela wakati wa uzinduzi wa kampeni ya umezeshaji wa dawa za kukinga na kutibu ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo kwa wanafunzi wa shule za umma na binafsi na kata zote Kumi na Tisa zilizopo Ilemela zoezi lililofanyika katika shule ya msingi Isenga Kata ya Pasiansi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.


“ Lengo kuu ni kutoa chanjo ya kuzuia magonjwa ya kichocho na minyoo ya tumbo kwa watoto walio chini ya miaka mine mpaka kumi na nne na tunategemea kuwafikia watoto zaidi ya Elfu Tisini na Mbili Mia Nne na Tisa”, Alisema.


Aidha ameongeza kuwa zoezi hilo kwa Manispaa ya Ilemela limetekelezwa kwa kushirikiana na wadau wengine ikiwemo Idara ya Elimu na ni zoezi shirikishi likihusisha si watoto wa mashuleni tu hata waliopo manyumbani  wenye umri huo wa miaka minne mpaka kumi na nne


Kwa upande wao wanafunzi wa shule ya msingi Isenga Pasiansi akiwemo Emmanuel Majala na Salma Moshi wa darasa la saba shuleni hapo mbali na kushiriki katika kumeza dawa hizo wameishukuru Serikali kwa kuanzisha mpango huo wenye lengo la kupambana na magonjwa yaliyosahaulika ingawa yamekuwa na madhara makubwa kwao kunakosababisha vifo kwa watoto wengi na kukatisha ndoto zao  huku wakitaka kuongezwa kwa muda wa utoaji wa umezeshwaji wa dawa hizo ili kuwafikia watoto enzao waliowengi mitaani


Nae mratibu wa zoezi hilo kutoka Idara ya Elimu Mwalimu Witness Mugyabuso amesema kuwa zoezi la umezeshaji wa dawa za kichocho na minyoo ya tumbo kwa shule za msingi za umma na binafsi ndani ya wilaya yake limefanikiwa kwa zaidi ya asilimia Themanini pamoja na baadhi ya changamoto zilizojitokeza ikiwemo ushirikiano mdogo kutoka kwa wazazi kwa kutowapa chakula watoto ili waweze kumeza dawa na kusababisha mzio (aleji) kwa wanafunzi waliopata dawa bila kula akiwemo mmoja kutoka shule ya msingi Pasiansi na kukimbizwa haraka zahanati ya Pasiansi kwa matibabu zaidi.


Zoezi hilo lilizinduliwa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mheshimiwa John Mongella ambapo lilizinduliwa katika shule ya msingi Isenga iliyopo katika manispaa ya Ilemela


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.