• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WAUGUZI ILEMELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KWA KUTOA HUDUMA ZA AFYA

Posted on: May 20th, 2017

WAUGUZI  ILEMELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KWA KUTOA HUDUMA ZA AFYA.
Wauguzi wa halmashauri ya manispaa Ilemela wamefanya sherehe za kuadhimisha kilele cha siku ya wauguzi duniani ambayo hufanyika mwezi Mei, 12 ya kila mwaka iliyotanguliwa kwa kutoa huduma za afya  sehemu zote zenye changamoto kubwa kama Visiwa vya Bezi na Kituo cha afya Buzuruga

Akizungumza katika hadhara hiyo mgeni rasmi na mkurugenzi wa manispaa Ilemela John Wanga mbali na kuwapongeza kwa juhudi kubwa wanazozifanya katika utoaji wa huduma kwa wananchi amewahakikishia kuwa serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kutatua changamoto zinazowakabili na kuwataka kuwa wavumilivu wakati hatua hizo zikiendelea kuchukuliwa kwa kuhakikisha yanakuwepo mazingira rafiki katika kutoa huduma za afya

“Ndugu zangu zipo changamoto za kisera na hizi za kawaida ambazo zipo ndani ya uwezo wa ofisi yangu niwahakikishieni kuwa tutaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha tunazitatua ila niwaombe muwe wavumilivu kwani si rahisi zote kuisha kwa siku moja” Alisema

Aidha amewataka wauguzi kuendelea kujituma katika kutoa huduma sambamba na kuwa waadilifu katika kazi yao na kuhitimisha kwa kutoa shilingi za kitanzania laki moja kwa kila muuguzi mstaafu aliyeshiriki sherehe hizo.

Nae Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Daktari Leonard Masale alisema kuwa ataendelea kushirikiana nao katika kuhakikisha wanaboresha huduma  za afya huku akiwaasa juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano.

Kwa upande wao wauguzi wakiwakilishwa na mwenyekiti wa chama cha wauguzi Ilemela Bi Assumpta Mwijage mbali na kumshukuru mgeni rasmi na viongozi alioambatana nao wameahidi kuwa wataendelea kuzingatia uadilifu na ueledi wa kazi yao katika kutoa huduma bora kwa wananchi.

Sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa Mwanza hoteli na zilihudhuriwa na viongozi mbalimbali  akiwemo Mkuu wa wilaya Ilemela Mhe Dkt Leonard Masale, Mkurugenzi wa Ilemela John Wanga, katibu wa mbunge jimbo la Ilemela Kheri James, Wauguzi wastaafu na wauguzi wote wa wilaya Ilemela wakiongozwa na muuguzi mkuu Bi Kalunde Gisema.







Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.