• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATUMISHI WA UMMA WAJENGEWA UWEZO KUFANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA,KANUNI NA TARATIBU

Posted on: December 30th, 2024

Watumishi wa Umma ngazi ya watendaji wa mitaa na kata ndani ya manispaa ya Ilemela wamejengewa uwezo kwa kupata mafunzo yatakayowasaidia kufanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu ili kutoa huduma bora kwa wananchi wao

Akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Morning Star kata ya Ilemela Kaimu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Bi Neema Semaiko amefafanua kuwa mafunzo yanayotolewa yakawe chachu katika uboreshaji wa utoaji huduma kwa wananchi pamoja na utendaji mzuri wa kazi za Serikali   unaozingatia sheria, kanuni na sera mbalimbali

'.. Kuna watu wameajiriwa wanalipwa mishahara kwa kazi ya kukufuatilia wewe utendaji wako wa kazi, Kwahiyo lazima tuwe waadirifu katika utendaji wetu wa kazi, Lazima tufanye kazi kwa sheria, kanuni na taratibu, Tusifanye shida za wananachi kuwa fursa ya kujipatia fedha zisizohalali ..' Alisema

Aidha Bi Semaiko amewataka watumishi hao kujikinga dhidi ya tatizo la afya ya akili wawapo kazini ili kuongeza ufanisi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku pamoja na kulinda afya zao kwa maslahi yao binafsi na taifa kwa ujumla

Kwa upande wake afisa utumishi mkuu wa manispaa ya Ilemela Bwana Teulas Egidy akasema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwaongezea ufahamu wa nini wanatakiwa kukifanya wawapo katika utumishi wa umma, changamoto gani wanaenda kukutana nazo na kwa namna gani wataenda kuzitatua sanjari na kutambua mipaka ya nafasi zao pamoja na kipi chakufanya na kipi si chakufanya kulingana na  vyeo vyao


Dkt Garvin Kweka kutoka chuo kikuu cha Muhimbili ambae pia mtaalam mbobezi wa Figo, magonjwa ya ndani na afya ya akili ni miongoni mwa wakufunzi katika mafunzo hayo ambapo amesisitiza kuwa watendaji hao wanakwenda kuongoza watu ambao hawafikirii kwa kufanana na kwamba jamii kwa sasa inakabiliwa na changamoto ya afya ya akili hivyo kuwasisitiza kuwa makini na kufanya kazi kwa kufuata sheria  badala ya utashi binafsi usiozingatia kanuni na taratibu za Serikali

Ndugu Nhkilo Elias ni mtendaji wa kata ya Kitangiri na Bi Nicetha Binomugamizi Victor ni mtendaji wa mtaa wa Kigoto kata ya Kirumba ambao kwa nyakati tofauti wamempongeza na kumshukuru mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela Bi Ummy Mohamed Wayayu kwa kuamua kutoa mafunzo hayo kwao kwa kuwa yatawaongezea ujuzi ambao hawakuupata darasani kulingana na taaluma zao na kuongeza ufanisi katika utoaji wao wa huduma za kila siku kwa wananchi wa maeneo yao pamoja na kuwaasa wenzao kuzingatia na kuyafanyia kazi mafunzo wanayoyapata

Manispaa ya Ilemela inaendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji wote wa mitaa na kata zake kupitia mradi wa Green and Smart City .

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.