• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WANANCHI WA ILEMELA WAMETAKIWA KUFANYA USAFI KUWA AJENDA YA KUDUMU

Posted on: September 16th, 2023

Wananchi wa Wilaya ya Ilemela wametakiwa kuhakikisha kuwa usafi unakuwa ni agenda ya kudumu ya kila siku kwani usafi ni kwa ajili yetu sote.


“Nitoe rai yangu kwenu kuwa zoezi la usafi liwe agenda ya kudumu ya kila siku kwani usafi ni kwa ajili yetu sote tuliendelea kufanya usafi tutaweka mji wetu salama na kuepukana na magonjwa”Alisema Mariam Msengi Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilemela.


Bi Mariam Msengi ameyasema hayo akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilemela katika KILELE CHA maadhimisho ya siku ya usafi Duniani ambayo hufanyika tarehe  16 Septemba ya kila mwaka ambapo katika Manispaa ya Ilemela maadhimisho hayo yalifanyika kwa kufanya usafi  katika soko la magomeni Kirumba.


Peter Joseph ambae ni Afisa Usafishaji na Mazingira wa Manispaa ya Ilemela alisema kuwa zoezi la usafi ni ajenda ya kudumu katika maeneo yote ya kufanyia biashara na kazi , kwani usafi sio kitu cha siku moja ni jambo la kila siku na kuongeza kusema kuwa  asilimia 75 ya magonjwa yanatokana na uchafu hivyo endapo mtu ataweza kudhibiti uchafu ataepukana na magonjwa yanayotokana na uchafu.


“Tumeanza na maeneo ya masoko kwa sababu tunaamini ni sehemu kubwa ya uzalishaji wa taka ngumu hivyo taka ngumu zinatakiwa zidhibitiwe ili zisiwe chanzo cha mlipuko  wa magonjwa kwasababu sehemu kubwa ya wanajamii wanapata huduma masokoni endapo patakuwa pachafu wataondoka na maradhi kutoka eneo la soko na kupeleka kwa wanajamii wanapoishi” alisema Ndugu Peter


Mwenyekiti wa soko la Magomeni Ndugu Elias Daud alitoa rai kwa wafanyabiashara kuendeleza utamaduni wa kufanya usafi ambao walikuwa nao awali na kwa wafanyabiashara ambao wana maeneo ndani ya soko na wameenda kuuzia nje amewataka kurudi ndani ya soko ili waweze kuepusha mlundikano wa taka ndani ya soko kufuatia kwamba wafanyabiashara wamekuwa wakitumia vibanda ambavyo havina watu kutupia taka.


Nae Mhudumu ngazi ya jamii kutoka kata ya Kirumba ameomba zoezi hili kuwa ni endelevu kwani hali ya usafi sio nzuri, lakini utaratibu huu ukiendelea basi usafi wa mji utaimarika, alisema.


Kilele cha siku ya usafishaji duniani kwa mwaka 2023 kilienda sambamba na kauli mbiu isemayo “Tuungane pamoja kujifunza kupanga na kuhimiza uimarishaji huduma za udhibiti taka”








Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.