• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI ILEMELA KUFANYIWA UKARABATI KUPITIA MRADI WA IMPACT

Posted on: November 17th, 2017

VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI ILEMELA KUFANYIWA UKARABATI KUPITIA MRADI WA IMPACT

Mradi wa IMPACT (Improving Access to Maternal and Newborn Health in Mwanza) uliotambulishwa katika Manispaa ya Ilemela unatarajiwa kukarabati vituo vya afya na zahanati ambapo majengo ya upasuaji na uzalishaji katika kituo cha afya Buzuruga, na zahanati za Igogwe na Luhanga yatafanyiwa ukarabati, hayo yalibainishwa na  afisa mwandamizi wa mradi  huo Bi Edina Selestine wakati wa utambuisho wa mradi huo.

Halikadhalika mradi huu umelenga kuwafikia zaidi ya watu laki sita kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kuanzia Serikali kuu hadi Serikali za mitaa.


“Manispaa ya Ilemela ipo tayari kwa  utekelezaji wa mradi huu na ndio maana mliposema mnakuja hakukuwa na mlolongo wa utekelezaji wake” , Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Ndugu John Wanga wakati akifungua Mafunzo ya mradi huo.


Aidha ameushukuru mtandao wa maendeleo wa Aga Khan kwa  kuletwa  kwa mradi huo na kuwahakikishia kuwa Manispaa yake iko tayari kwa utekelezaji wa mradi huo huku akiwakaribisha wadau wengine wa maendeleo katika Manispaa yake.


Nae Mganga mkuu wa Manispaa Ilemela Daktari Florian Tinuga amesema kuwa mradi huo umekuja muda muafaka kwa kwenda sambamba na jitihada za Serikali za kuhakikisha vifo vya mama wajawazito na watoto vinapungua kwa kuboresha miundombinu ya afya sambamba na utoaji wa huduma bora kwa wananchi.


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela Mheshimiwa Renatus Mulunga, akifunga mafunzo hayo, amewahakikishia utekelezaji wa haraka wa makubaliano yote yaliyofikiwa kupitia kikao cha ufunguzi wa mradi huo.


Mradi huu wa miaka mitano unaoendeshwa na mtandao wa maendeleo wa Aga Khan kwa ufadhili wa Watu wa nchi ya Canada kwa kushirikiana na Serikali kuu, lengo lake ni kuhakikisha kuwa unapunguza vifo kwa mama wajawazito, kuongeza miundombinu ya huduma za afya na kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya.




Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.