• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

VIONGOZI WA MITAA WAASWA KULINDA MAENEO YA WAZI

Posted on: September 19th, 2024

Viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Ilemela wametakiwa kuyatambua na kuyalinda maeneo ya wazi kwaajili ya shughuli za kijamii badala ya kuyaacha yakavamiwa na kuporwa na watu wasiokuwa waaminifu .

Rai hiyo imetolewa na mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula wakati wa ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya jimbo hilo aliyoifanya katika kata za Pasiansi na Kawekamo ambapo amewataka wenyeviti na watendaji wa mitaa kuchukua hatua za haraka wanapoona maeneo ya wazi yanavamiwa na kujengwa .

‘.. Hatuwezi kuacha watu wafanye wanavyotaka alafu mwisho wa siku tunaanza kulalamika maeneo ya wazi yanavamiwa wakati wanaanza kuingia sie tupo na tunawaangalia ..’ Alisema

Aidha Mhe Dkt Mabula amemshukuru na kumpongeza Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya jimbo lake ambapo mpaka sasa manispaa ya Ilemela imekwisha pokea zaidi ya bilioni 65 kwaajili ya utekelezaji wa miradi balimbali ya maendeleo .

Diwani wa kata ya Pasiansi Mhe Rosemary Mayunga na diwani wa kata ya Kawekamo Mhe Omary Bakari kwa nyakati tofauti wamemshukuru mbunge wa jimbo la Ilemela kwa ziara zake kwani zimekuwa chachu katika kuongeza kasi ya ukamilishaji wa miradi ya maendeleo katika kata zao  huku wakiwataka wananchi wa kata zao kuchangia na kushirikiana na serikali kuanzisha miradi mipya

Kwa upande wake afisa ardhi manispaa ya Ilemela Ndugu Ismail Kalaghe amefafanua kuwa ni jukumu la wananchi wote kulinda maeneo ya umma huku akiwaahidi kuendelea kutatua kero za ardhi zilizolalamikiwa na wananchi hao hasa kuhusu ulipwaji wa fidia kwa maeneo yaliyotwaliwa na serikali kwa shughuli za umma ambapo mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela Bi Ummy Mohamed Wayayu amekuwa na utaratibu wa kutenga fedha za mapato ya ndani na kulipa madeni ya fidia Joachim George ni mwananchi wa kata ya Kawekamo ambapo licha ya kuipongeza serikali kwa kazi kubwa ya maendeleo, ameomba kupewa kipaumbele zoezi la ulipaji wa fidia kwa wananchi kwani wengine wamefariki kabla hata ya malipo ya fidia zao huku wengine wakiugua kutokana na msongo wa mawazo unaotokana na kucheleweshwa kwa fedha za malipo ya fidia hizo .

Mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula ataendelea na ziara yake leo septemba 19 katika kata za Ilemela na Buzuruga kusikiliza kero za wananchi na kukagua miradi ya maendeleo .

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.