• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

UJENZI HOSPITALI YA W ILAYA YA ILEMELA WAFIKIA TAKRIBANI ASILIMIA 85 YA UKAMILISHAJI

Posted on: July 12th, 2019

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ilemela inayojengwa katika eneo la Isanzu kata ya Bugogwa hadi leo tarehe 12/07/2019 umefikia takribani asilimia 85 ya utekelezaji wa mradi ambapo majengo yote saba yamekamilika na shughuli zinazoendelea kwa sasa ni ukamilishaji kwa maana ya kuweka vigae, kupaka rangi, kuweka vioo vya aluminium, uwekaji wa gata za maji, mfumo wa maji taka pamoja na kusafisha maeneo ambapo ujenzi unaendelea.

Jumla ya Majengo saba ya awali yanayojengwa ni pamoja na;Jengo la utawala, Jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Stoo ya dawa, Maabara, Jengo la vipimo vya Mionzi, Jengo la kufulia nguo (Laundry) pamoja na Jengo la Wazazi.


Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela John Paul Wanga akiongelea kuhusu ujenzi huu amesema kuwa, Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ulianza mnamo tarehe 22/3/2019 na unajengwa kwa kutumia force account chini ya usimamizi wa kamati 5 zilizoundwa ambazo ni kamati ya ufuatiliaji na utawala, kamati  ya  ununuzi, kamati  ya  mapokezi, kamati ya utunzaji na ufuatiliaji wa vifaa pamoja na kamati  ya ujenzi ambapo kila kamati ina mwakilishi kutoka kwenye jamii.

Aidha aliongeza kuwa hospitali hiyo itakapokamilika inatarajia kuhudumia wakazi 457,774 wa Ilemela pamoja na maeneo jirani huku akimshukuru Mhe Rais kwa kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kujenga Hospitali  ya Wilaya.


“Kwa niaba ya wananchi wa Manispaa ya Ilemela, nimshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kutupatia fedha kwa ajili ya kutekeleza mradi huu kwani Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela haikuwa na hospitali ya wilaya na wananchi wake walitegemea kuhudumiwa na hospitali ya rufaa ya mkoa, hospitali ya jeshi pamoja na hospitali ya kanisa la wasabato”, alisema Mkurugenzi

Halmashauri  ya Manispaa ya  Ilemela ni kati ya halmashauri 67 nchini zilizopatiwa  fedha kiasi  cha  Tsh. Bil 1.5 toka serikali kuu kwa  ajili ya  ujenzi wa hospitali ya Wilaya katika mwaka wa fedha 2018/2019, ambapo fedha hiyo ililenga kutumika kwa ajili  ya ujenzi wa  majengo 7 ya awali yaliyokamilika kwa asilimia 100 kati ya majengo 22 ambayo yanatakiwa kujengwa.





Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.