• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

TASAF YAHIMIIZA UANZISHWAJI WA VIKUNDI VYA KUWEKA AKIBA KWA WALENGWA WA MRADI

Posted on: March 29th, 2017

Mpango wa kunusuru kaya masikini Tasaf umedhamiria kuhamasisha uanzishwaji wa vikundi vya kuweka akiba vya walengwa ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha walengwa wanakutana kwa pamoja na kubadilishana mbinu za kujikwamua kiuchumi na kusaidiika kirahisi

Hayo yamebainishwa na mratibu wa Tasaf wa halmashauri ya manispaa Ilemela ndugu Frank Ngitaoh wakati wa utekelezaji wa zoezi la kunusuru kaya masikini dirisha la Machi-Aprili kwa awamu ya Kumi na moja ikijumuisha mitaa Sitini na tisa inayonufaika na mpango huo ya kata Kumi na nane isipokuwa kata ya Kahama ambapo kaya Elfu Nne mia nne na sita zitalipwa zaidi ya milioni mia moja na thelathini na sita

Ngitaoh ameongeza kuwa zoezi hilo litatanguliwa na shughuli za kuboresha taarifa za walengwa kwa kuongeza taarifa za watoto na walioko shuleni kwa chini ya miaka mitano ambao hawakuorodheshwa katika kipindi cha usajili wa awali, kusomewa rasimu ya walengwa wahitimu kwenye mpango na kukusanya taarifa ya walioondolewa kwa kutojitokeza kuchukua malipo yao kwa zaidi ya mara tatu mfululizo

‘… Awamu hii tumedhamiria kuhamasisha uanzishwaji wa vikundi vya walengwa wa mpango huu ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha walengwa wanakutana kwa pamoja na kubadilishana mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kusaidiika kirahisi kutoka serikalini …’ alisisitiza

Kwa upande wake mwenyekiti wa uhamasishaji wa mpango kutoka  mtaa wa Kigala uliopo kata ya Buswelu Bi Aisha Abubakar amesema kuwa muitikio wa zoezi hilo kwa sasa umezidi kuwa mzuri ukilinganisha na hapo awali ambapo utaratibu wa kupiga vipenga ulikuwa ukidumaza ubora wa zoezi hilo ukilinganisha na sasa ambapo wanufaika wanafuatwa kaya kwa kaya kuelimishwa mambo muhimu ya mradi

Aidha  wanufaika wa mradi akiwemo Bwana  Edward Masanyiwa  kutoka mtaa Kigala ameishukuru serikali kwa utaratibu wa mpango huu wa kunusuru kaya masikini ambapo wanufaika wamekuwa wakitumia fedha wanazopata kuanzisha miradi mbalimbali ya kilimo,uvuvi, ufugaji na biashara ndogo ndogo kunakowafanya waache utegemezi na kujikwamua kiuchumi

Akihitimisha mwenyekiti wa mtaa Kigala ndugu Hamisi Magawila amesema kuwa pamoja na jitihada zote zinazochukuliwa ameiomba serikali kuzidi kutoa elimu kabla ya utekelzaji wa mpango ili wananchi waweze kupata uelewa wakutosha juu ya mpango kwani wengi wao wamekuwa wakipoteza haki zao za msingi kwa kutofahamu utaratibu ikiwemo kutotoa taarifa za watoto wadogo na wanafunzi










Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.