• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Shule binafsi zatakiwa kujenga uhusiano na jamii

Posted on: June 14th, 2022

Wamiliki wa shule binafsi wametakiwa kujenga uhusiano na jamii inayowazunguka kwa kuhakikisha inashiriki katika kutatua kero, changamoto na utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika maeneo yanayowazunguka ili jamii iweze kunufaika na uwepo wao na kuona kuwa ni sehem yao jambo litakalosaidia kudumisha ulinzi kwa shule hizo kwani litaondoa chuki na uhasama baina ya jamii na shule hizo.


Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya huduma za Jamii ambae pia ni diwani wa kata ya Nyamhongolo Mhe Andrea Antony Nginila wakati wa ziara ya kamati hiyo ya kutembelea shule binafsi zilizopo ndani ya Manispaa ya Ilemela kwa ajili ya kujiridhisha juu ya ubora wa huduma zinazotolewa, uzingatiaji wa sheria, taratibu na kanuni za utoaji elimu.

‘.. Mtakapo shirikiana na jamii katika mambo tofauti wataona nyinyi ni wenzao hata namna ya kuilinda shule itakuwa ni rahisi jamii itawasaidia, Lakini kama hamshirikiani na viongozi wa maeneo yenu, hamshirikiani na jamii ni ngumu kusonga mbele ..’ Alisema

Kwa upande wake Mhe AbdulRahman Simba Diwani wa kata ya Nyasaka ambae pia ni mjumbe wa kamati hiyo amesema kuwa ziara za kushtukiza katika shule binafsi ziwe endelevu kwani zitasaidia kubaini mapungufu ya shule hizo ikiwa ni pamoja na kuzipatia ufumbuzi jambo ambalo litasaidia kuboresha sekta ya elimu ndani ya wilaya.


Nae Mkuu wa idara ya kilimo Manispaa ya Ilemela Bi Neema Semwaiko  aliongeza kwa kusema kuwa ipo haja kwa wadhibiti wa ubora wa elimu na maafisa elimu kata kujenga utamaduni wa kutembelea shule zilizopo katika maeneo yao kuzikagua na kuzisimamia vizuri ili zifuate utaratibu unaotakiwa badala ya kusubiria kamati ya huduma pekee kufanya hivyo.


Kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Afisa Elimu msingi Ndugu Marco Busungu ameahidi kuwa maelekezo yote yaliyotolewa na kamati hiyo yataenda kufanyiwa kazi ikiwa ni pamoja na kuweka msisitizo zaidi katika kuzisimamia shule binafsi badala ya zile za Serikali pekee.

Shule ya msingi PrinceTom na Rorya sekondari kwa kata ya Buswelu, Yusta sekondari na LowJoma  shule ya msingi kwa kata ya Nyasaka zilitembelewa.


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.