• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

RC MWANZA AIELEKEZA ILEMELA KUFUTA HOJA ZILITOTOLEWA NA CAG

Posted on: June 20th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amemuelekeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na timu yake ya watalaam kuhakikisha kuwa  hoja zilizotolewa na  mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG)  zinafutwa kabla ya kuelekea katika vikao vya LAAC.

Mhe Mkuu wa Mkoa ametoa maelekezo hayo wakati akiendesha kikao maalum cha baraza la madiwani lililoketi kwa ajili ya kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za seikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2020/2021 pamoja na utekelezaji wake ambapo  Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imepata hati safi.

“Mkurugenzi shirikiana na timu yako kuhakikisha kuwa hoja hizi zilizobaki zinamalizika kabla ya kuelekea katika vikao vya LAAC kwani hizi ni hoja dhaifu ambazo zinaweza kumalizika”. Amesema Mkuu wa Mkoa.

Pamoja na hayo amewataka viongozi wa Halmashauri kuhakikisha kuwa wanaangalia  viashiria vyote hatarishi katika matumizi ya fedha, fedha mbichi isiliwe, miradi yote isimamiwe na kamati za ujenzi  huku akiwataka kuhakikisha kuwa mapungufu yaliyojitokeza hayajirudii  kwani nia na ndoto ya Mhe Rais Samia Suluhu, ni fedha zitumike na kuleta matokeo chanya katika jamii tunayoisimamia.


“Mafanikio hayaji hivihivi, ni kujituma kwa viongozi niwapongeze wote, Mbunge wa Jimbo,  Mstahiki Meya na Baraza lako, timu ya wataalaam kwa kufanikisha haya kutembea pamoja, kutambua changamoto na kuweza kuzitatua na pale inapobidi kujisahihisha, aidha nikupongeze pia  Mkurugenzi ambae ni kiongozi wa watumishi kwa kuwa msikivu na kuona kuwa maendeleo yanapatikana Ilemela, Alisisitiza Mhandisi Gabriel

Nae Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe. Salum Kali amesema kuwa anayo  imani kuwa maelekezo yaliyotolewa yatafanyiwa kazi na kuwa mwaka wa fedha ujao umakini utaongezeka kabla ya kutoa maamuzi

Mhe Renatus Mulunga, Mstahiki Meya wa Ilemela, amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa ushirikiano na muongozo wa kila siku ambayo imeifikisha Ilemela hapa ilipo huku akimuahidi kutekeleza maelekezo yote aliyoyatoa katika baraza.

Nikushukuru na kukuahidi ushirikiano wa kutosha na kutekeleza maelekezo yote uliyotupatia siku ya leo , kwani dhamira ni kuleta  maendeleo kwa Manispaa ya ilemela, Mhe. Mulunga

Akiwasilisha  Taarifa ya mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 , Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Mhandisi Modest Apolinary, amesema kuwa pamoja na Halmashauri kupata hati safi kwa mwaka uliopita wa 2020/2021 Ilemela imeendelea kupata hati safi kwa kipindi cha miaka sita mfululizo  ambapo hadi sasa hoja zilizobaki ni 11 tu.


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.