• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MUFINDI DC YAVUTIWA NA MIRADI YA UVUVI INAYOTEKELEZWA ILEMELA

Posted on: December 24th, 2024

Halmashauri ya wilaya ya Mufindi imevutiwa na kupongeza miradi ya sekta ya uvuvi ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba inayotekelezwa kata ya Sangabuye eneo la Igalagala na biashara ya mazao ya samaki katika soko la kimataifa la Kirumba  ndani ya manispaa ya Ilemela.

Akizungumza wakati wa ziara ya madiwani wa manispaa ya Mufindi kwa ajili ya  kujifunza namna sekta ya uvuvi inavyoweza kuongeza mapato ya halmashauri Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mhe. Festo Elia Mgina amesema kuwa amefurahisha na namna manispaa ya Ilemela inavyonufaika na mapato ya sekta ya uvuvi kutokana na uwekezaji iliyoufanya huku akiwaasa madiwani wenzake kuona namna bora ya wao kuweka mipango na mikakati katika mwaka wa fedha ujao kuwekeza katika ufugaji samaki wa mabwawa ili nao waweze kuongeza mapato ya Halmashauri yao na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja .

"..Tumefarijika sana kwa maelekezo yenu pamoja na namna mradi wa vizimba vya ufugaji samaki unavyotekelezwa, Kwa niaba ya wenzangu tunawashukuru sana.." Alisema

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Mhe. Boniphace Castory Masangula mbali na kuipongeza manispaa ya Ilemela ameongeza kuwa wilaya ya Mufindi ina mabwawa ya Ngwaki, Kihanga na Nzili hivyo kama watazingatia walichojifunza, elimu waliyoipata itasaidia katika kutekeleza miradi ya uvuvi na mazao ya samaki kwa ufanisi zaidi. 

Nae Mkurugenzi wa Wilaya ya Mufindi Ndugu Mashaka Said Mfaume akaongeza kuwa ziara waliyoifanya imewasaidia kuongeza maarifa mapya ambayo hawakuwa nayo ikiwemo ufugaji wa samaki Kwa njia ya vizimba unavuofanyika, ulishaji wa samaki, uvunaji wa samaki na makadirio ya chakula cha samaki elimu ambayo itawasaidia watakapoanza kutekeleza miradi ya uvuvi.

Mhe Renatus Bahebe Mulunga ni Mstahiki meya wa manispaa ya Ilemela ambapo amesema kuwa mafanikio yanayopatikana ndani ya manispaa yake ni matokeo ya kauli mbiu ya wilaya hiyo ya 'Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga' ambapo suala la maendeleo linalopangwa na mbunge ndilo la meya, ndilo la mkurugenzi, ndilo la chama tawala, ndilo la mkuu wa wilaya, ndilo la madiwani hivyo kurahisisha juhudi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo  huku akiwaasa watu wa Mufindi kuwa na kauli mbiu inayowaunganisha wananchi na viongozi katika kuchochea maendeleo .

















Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.