• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MAAFISA UGANI ILEMELA WAELIMISHWA KUKABILIANA NA TABIA NCHI

Posted on: September 21st, 2024

Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza na wadau wa kilimo wametoa mafunzo kwa maafisa ugani wa Manispaa hiyo ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na kilimo msimu huu.

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Afisa kilimo wa mkoa Innocent Keya amesema ni muhimu kujiandaa vizuri na aina gani ya mazao tutakayoyalima ili yalete tija .

" ..Tuwakumbushe wakulima wetu kuchagua mazao yatakayoendana na hali ya hewa .."

Nae Meneja wa mamlaka ya hali ya hewa (TMA) kanda ya ziwa ndugu Augustino Nduganda amesema matarajio ya hali za mvua za vuli mwaka 2024 kwa Wilaya ya Ilemela ni za wastani hadi chini ya wastani kutoka 300 - 410 milimita.

Nduganda amefafanua kuwa inatarajiwa kwamba mtawanyiko wa mvua za vuli hautakuwa mzuri kwani utatawaliwa na vipindi vya ukavu wa siku 10 na kuendelea.

"...Hali ya unyevuunyevu wa udongo haitakuwa nzuri na inaweza kuathiri ukuaji wa mazao,tunawashauri wakulima wapande mazao yanayostahimili ukame na kukomaa kwa haraka..." Amesema Nduganda

Wadau wa mbegu Seed.Co,Taifa seed,BRAC walitoa maelezo ya mbegu bora walizonazo na kuwasihi wakulima kuomba ushauri wa uchaguzi bora wa aina za mbegu kulingana na uhalisia wa  maeneo yao kwa kuangalia hali ya hewa, udongo n.k

Dr.Mshindo Msola ni mtaalam wa mbolea kutoka wazalishaji wa mbolea Minjingu amesema ni muhimu wakulima wafahamu kazi za mbolea na matumizi sahihi kuanzia wakati wa kupanda,kukuzia kwa viwango vya ubora ili wapate mavuno mengi zaidi.

Akihitimisha mafunzo hayo mwakilishi wa Afisa kilimo wa Manispaa ya Ilemela Vincent Mlongwa amesema   Halmashauri inaendelea na utoaji elimu kwa wakulima wake katika kuhakikisha kuwa mabadiliko ya tabia nchi hayaathiri uzalishaji kwa kiwango kikubwa.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.