• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAPATA VIONGOZI WA JUKWAA LA WADAU WA UKIMWI

Posted on: July 10th, 2017

ILEMELA YAPATA VIONGOZI WA JUKWAA LA WADAU WA UKIMWI


Halmashauri ya manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaojihusisha na  mapambano ya kudhibiti Ukimwi ndani ya wilaya hiyo imekutana na kuunda jukwaa la wadau wa Ukimwi ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha lengo la Dunia linafikiwa kuwa, ifikapo mwaka 2020 kutokuwepo  maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.

MRATIBU WA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA ILEMELA (ALIYESIMAMA) AKITOA NENO KWA WADAU


Akizungumza na wadau hao Mwenyekiti wa Kamati ya kudhibiti Ukimwi na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilemela Mheshimiwa Shabani Ramadhan Maganga amesema lengo la kuanzishwa kwa jukwaa hilo ni kuwakutanisha wadau mbalimbali wanaopatikana ndani ya wilaya ya Ilemela katika kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya Ukimwi sambamba na kuhakikisha lengo la Dunia linafikiwa la kuzuia maambukizi mapya ifikapo mwaka 2020.


“Tamaa yangu ni kuona Jukwaa hili linakuwa la mfano Ilemela na nchi nzima katika mapambano dhidi ya Ukimwi kwa kuwakutanisha wadau pamoja kujadili changamoto, kubadilishana uzoefu, kuunganishi nguvu ya pamoja ili kuifikia  ile Tisini, Tisini, Tisini na lengo la Dunia la kuzuia maambukizi mapya ifikapo mwaka 2020 na hili linawezekana tushirikiane katika kusimamia jambo hili”, Alisisitiza.


Pamoja na hayo wadau hao walifanya uchaguzi wa viongozi wake ikiwa ni hatua za awali kabla ya uzinduzi ambapo Ndugu Joseph Bukura alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Ndugu Msumari alichaguliwa kuwa makamu mwenyekiti, wakati Bi Edina Edward alichaguliwa kuwa katibu na Bi Joyce Benjamini kuwa Muhazini wa Jukwaa.Uongozi huo utakuwa ni wa kipindi cha mwaka mmoja.

Nao wadau walioshiriki katika mchakato wa uundaji Jukwaa hilo mbali na kuishukuru Manispaa ya Ilemela chini ya Naibu Meya wake Mhe Shaban Maganga kwa uamuzi wake wa kuona haja ya uwepo wa Jukwaa hilo wameahidi kuhakikisha wanalitumia vyema Jukwaa hilo katika kudhibiti Ugonjwa wa Ukimwi sanjari na kutatua changamoto zote zinazowakabili wadau wa Ukimwi katika kuongeza ufanisi wa kuitumikia Jamii inayowazunguka.



Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.