• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA YAPONGEZWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA GREEN AND SMMART CITIES

Posted on: January 21st, 2025

Halmashauri ya manispaa ya Ilemela imepongezwa kwa utekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na fedha za mradi wa green anda smart cities  ikiwemo ununuzi wa magari na mitambo ya ujenzi wa barabara, usimikaji wa mifumo katika kituo cha utoaji huduma za kibiashara (ONE STOP CENTER) katika ofisi ya kata ya Nyamanoro na mfumo wa GOT-HOMIS katika zahanati ya Nyamadoke.

 

Pongezi hizo zimetolewa na Bi Agnetah Rushelya kutoka wizara ya fedha mara baada ya ziara ya kukagua miradi hiyo, ambae amefafanua kuwa kupitia ziara yao wameweza kukagua miradi iliyotekelezwa kwa fedha za mradi wa Green and Smart Cities na kwamba wamejionea namna miradi hiyo ilivyozingatia thamani ya fedha.

 

“Tumekuja kukagua miradi inayofadhiliwa na Green and Smart Cities, tumeitembelea na tumeona kile kilichofanyika, kwakweli tunamshukuru na kumpongeza mkurugenzi na uongozi wake kwani mradi wa Green and Smart Cities inalenga kuleta tija katika jamii” Alisema Agnetah

 

Pamoja na pongezi hizo, Bi Agnetah ameahidi kuendelea kushirikiana na manispaa ya Ilemela kupitia mradi wa Green and Smart Cities kwa kuhakikisha miradi mingi inaendelea kutekelezwa na kunufaisha jamii

 

Kwa upande wake mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela Bi Ummy Mohamed Wayayu mbali na kuwashukuru wataalam hao kwa kuitembelea manispaa yake, amewataka kuendelea kushirikiana na kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo umaliziaji wa jengo la utawala pamoja na kuahidi kuendelea kusimamia fedha zote zinazoletwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

 

Anna Shao ni afisa biashara wa manispaa ya Ilemela anaesimamia kituo cha utoaji huduma za kibiashara katika ofisi ya kata ya Nyamanoro kilichofadhiliwa na mradi huo, amesema kuwa kituo hicho kimesaidia kusogeza huduma karibu na wananchi na kwamba huduma za elimu ya biashara, msaada wa kuomba leseni na utoaji wake, huduma za kodi za huduma  na ada za nyumba za kulala wageni zinatolewa katika kituo hicho siku zote za kazi kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni

 

 

Nae Bi Nadya Daniel ambae ni mfanyabiashara wa kata ya Kitangiri aliyenufaika na uwepo wa kituo cha mlipa mkodi kata ya Nyamanoro kupitia mradi wa Green and Smart Cities ameshukuru kwa uwepo wa kituo hicho kwani kimewasaidia kupata huduma kwa haraka na kwa wakati tofauti na awali ambapo walikuwa wakitumia muda mrefu kufata huduma makao makuu ya wilaya

 

Ahmed Sakibu ni mratibu wa mradi wa Green and Smart Cities kwa manispaa ya Ilemela amesema kuwa hadi sasa manispaa ya Ilemela imepokea kiasi cha shilingi bilioni 1.99 kwa ajili ya kutekeleza miradi chini ya programu ya green and smart citIES.



Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.