• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ZOEZI LA UFUNGAJI WA MFUMO WA GOTHOMIS KATIKA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI LAKAMILIKA

Posted on: October 15th, 2018

Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na wataalam kutoka mradi wa PS3 pamoja na OR-TAMISEMI imekamilisha zoezi la ufungaji wa mfumo wa GOTHOMIS katika vituo vyote vya afya vitatu pamoja na zahanati zote 13 zilizopo katika Manispaa ya Ilemela.


Mfumo huu  utakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa pindi watakaposajiliwa kwa mara ya kwanza mapokezi, anapokwenda kumuona daktari, maabara, dirisha la dawa, lakini  pia utakuwa na uwezo wa kutambua wagonjwa wa msamaha na kuweza kupata huduma stahili.

Afisa Tehama wa Manispaa ya Ilemela Bi Faraja Ndaro Ezekiel amesema kuwa mfumo huu utakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa pindi wanaposajiliwa kwa mara ya kwanza mapokezi, anapokwenda kumuona daktari, maabara, dirisha la dawa, lakini  pia utakuwa na uwezo wa kutambua wagonjwa wa msamaha na kuweza kupata huduma stahili huku akiwaasa watoa huduma hao kuhakikisha wanautumia mfumo huo. Pia amewataka watoa huduma za afya kuwasiliana na Kitengo cha Tehama pindi zinapojitokeza changamoto za kitaalamu ili kupata msaada badala ya kutumia utaratibu wa zamani wa kuandika kwenye makaratasi.



Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilemela Daktari Florian Tinuga  amewataka watoa huduma za afya katika zahanati na vituo vya afya vya halmashauri ya manispaa ya Ilemela kusimamia na kuutumia mfumo huo wa  kielektroni pindi wanapohudumia wananchi na pia kuhakikisha wanaivitunza vifaa hivyo.

Nae mteknolojia maabara ya kituo cha afya Buzuruga Bwana Valentino Mayunga amesema kuwa tangu kuanza kuutumia mfumo huo umemsaidia kurahisisha kutoa huduma kwa haraka kwa kutuma majibu kwenda kwa daktari, kuwa na taarifa sahihi za wagonjwa na kuandaa kwa urahisi taarifa za mwisho wa mwezi.


Nae Bi Salome Masanja aliefuata huduma kituoni hapo ameusifu utaratibu wa kutumia mfumo wa kielektroniki katika kutoa huduma kwani unasaidia kupunguza msongamano kwa wagonjwa hivyo kupata huduma kwa wakati tofauti na zamani ambapo mgonjwa alikuwa anatumia muda mrefu kwenye foleni kwa kuzunguka kutoka sehemu moja ya huduma kwenda nyingine bila utaratibu mzuri .


GOTHOMIS ni mfumo ulioandaliwa na wataalamu wa OR-TAMISEMI kwa ajili ya kutunza kumbukumbu za wagonjwa na kuratibu shughuli nzima za hospitali ikiwemo kudhibiti upotevu wa mapato.



Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.