• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

ILEMELA NA STECOL ZATIA SAINI UJENZI WA MIRADI MIWILI YA KIMKAKATI

Posted on: July 17th, 2019

Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Kampuni ya STECOL Corporation Ltd leo tarehe 17/07/2019 imetiliana saini mkataba wa miradi miwili ya kimkakati ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi pamoja na ujenzi wa maegesho ya magari ya mizigo.

Ujenzi huo wa kituo cha kisasa cha mabasi pamoja na ujenzi wa maegesho ya magari ya mizigo utafanyika katika eneo la nyamhongolo na unatarajia kuanza mnamo tarehe 30/7/2019 na unatarajia kukamilika ndani ya miezi 18.


Miradi hii yote miwili inatarajia kugharimu takribani kiasi cha Shilingi Bil.27 za kitanzania ambapo  mradi  wa  kituo kikubwa cha kisasa cha mabasi kitagharimu kiasi cha Shilingi 18,719,058,426.19 na ujenzi wa maegesho  ya  magari ya mizigo itagharimu kiasi cha shilingi 8,376,045,038.21.  


Akiongea mara baada ya zoezi la utiaji saini kukamilika Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Mhe Renatus Mulunga amesema kuwa anaamini kuwa  kazi hii itafanyika kwa uadilifu na kwa wakati uliopangwa ili ulete tija kwa wananchi wa Ilemela.

Nae Mwakilishi wa kampuni ya STECOL Bwana Luo ameishukuru Manispaa ya Ilemela kwa kuwaamini na kuwachagua kutekeleza mradi huu huku akiahidi kuwa watahakikisha kuwa wanafanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha ndani ya miezi 18 iliyokubalika katika mkataba.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Paul John Wanga amemshukuru Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli,  kwa kuipatia Manispaa ya Ilemela  fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi hii mikubwa  ya kimkakati ambayo itawaletea maendeleo wananchi wa Ilemela.  

Miradi hii miwili ni kati ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa na halmashauri mbalimbali nchini na  kufadhiliwa na serikali kuu na lengo kubwa ikiwa nikuhakikisha kuwa Halmashauri inaongeza vyanzo vya mapato ili ziweze kujitegemea.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.