• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

DC MASALA ASISITIZA NIDHAMU YA FEDHA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: October 10th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe. Hassan Masala amesisitiza suala la nidhamu ya matumizi ya fedha Tshs. Bilioni 2.2  za  ujenzi wa vyumba vya madarasa  iliyotolewa na serikali kuu kwa ajili ya maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023


Amesisitiza hilo wakati wa ziara ya ufuatiliaji wa maandalizi ya ujenzi wa vyumba hivyo katika Manispaa ya Ilemela.


Mhe Masala amesema kuwa lengo kubwa ni wote kutembea kwenye mlengo mmoja ili kuweza kukamilisha ujenzi wa madarasa haya kwa wakati na kuwa fedha hizi zinahitaji nidhamu katika usimamizi, kwani ni  fedha za umma na zimetolewa na kiongozi wetu haipaswi kumuangusha.


“Shilingi milioni Ishirini kwa kila darasa, isiposimamiwa vizuri itamtaka mkurugenzi aongeze fedha na ni kitu sitarajii kitokee hivyo nidhamu ya matumizi izingatiwe”, amesisitiza Mhe Masala.

Pamoja na hayo ameagiza wakuu wa shule wote kuwasilisha mpango kazi wa utekelezaji wa ujenzi , sambamba na hilo ameelekeza kushirikisha wananchi kuanzia uchimbaji wa msingi ili waweze kumiliki miradi hiyo, kufanya ufuatiliaji wa bei elekezi ya vifaa mbalimbali huku akisisitiza kuzingatia suala mgawanyo wa kazi  kwa kushirikisha  kamati zote .


Aidha amewataka wenyeviti wa mitaa yote kusemea mapokezi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo inaendele kwa wananchi ili waweze kupata uelewa wa fedha zote zinazotolewa na serikali ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan


Katika nyakati tofauti madiwani wa kata za Bugogwa, Kayenze na Shibula wamemshukuru Mhe . Rais kwa fedha hizi za ujenzi wa vyumba vya madarasa kwani vinaenda kuondoa changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule za Sekondari.


Akihitimisha Mhe Masala ametoa maelekezo kwa wakuu wa shule kuhakikisha kuwa kila mmoja anatekeleza jukumu lake  kwa kuhakikisha  kuwa zoezi la ujenzi wa vyumba hivi 110 vya madarasa linakamilika kufikia tarehe 20 mwezi wa kumi na mbilli. , “lazima kuwekeza kwenye elimu kwani ndio kila kitu”, amesema Mhe Masala.


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.