• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WAZIRI JAFO AIPONGEZA ILEMELA KWA UTEKELEZAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: October 22nd, 2018

Waziri wa nchi OR-TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo  ameipongeza Manispaa ya Ilemela kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo inayozingatia thamani ya fedha.

Pongezi hizo amezitoa akiwa kwenye ziara ya kikazi katika  Manispaa ya Ilemela kwa ajili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo alikagua jengo la utawala la Halmashauri, jengo la hospitali ya Wilaya, ujenzi wa barabara ya Sabasaba-Kiseke-Buswelu pamoja na ujenzi wa miundombinu katika kituo cha Afya Buzuruga.


Sanjari na ukaguzi wa miradi hiyo aliongea na watumishi wa Manispaa na kuwasisitiza kufanya kazi kwa ueledi na  kujiamini huku akisisitiza suala la ukusanyaji wa mapato na kumtaka Mstahiki Meya wa Manispaa kuhakikisha anasimamia ipasavyo ukusanyaji wa mapato hasa katika soko la samaki la Mwaloni kwani ndio chanzo kikuu cha mapato cha Halmahauri.

“Mna kila sababu ya kusimamia mapato katika soko la samaki,hakikisheni mapato yote ya soko    yanaingia vizuri na yanasimamiwa vizuri, sitaki kusikia soko la mwaloni linaharibiwa kuwa sio chanzo muhimu cha mapato ya Manispaa ya Ilemela”, Alisisitiza

Aidha amemtaka afisa mapato kuhakikisha anasimamia mapato na kama kuna wizi unaendelea basi ahakikishe anafunga mianya yote hasa katika soko la samaki na kuongeza kuwa anataka kuona mapato yanaongezeka halmashauri inasonga mbele

Pia amewapongeza waheshimiwa madiwani kwa usimamizi wao mzuri na kuwataka kuendelea  kupambana katika kuisimamia manispaa pamoja na miradi  ya maendeleo ili Manispaa iweze kusonga mbele

Akiwa katika kituo cha Afya Buzuruga, ambapo alipata wasaa wa kuongea na wagonjwa waliofika kutibiwa, Mhe. Jafo amesema kuwa amefarijika kuona kuwa  Manispaa ya Ilemela  imefunga mifumo ya kielektroniki (GOTHOMIS) katika vituo vyote vya afya na zahanati na kuifanya  Halmashauri  hii kuwa ya kwanza ya mfano na hivyo ameziagiza Halmashauri zote  kukamilisha uwekaji wa mifumo ya hii.


Pamoja na hayo ameitaka Halmashauri kuhakikisha wanaitumia mifumo hiyo kwa lengo lililokusudiwa la ukusanyaji wa mapato kwa maslahi mapana ya Halmashauri na vituo vya afya huku akiwasisitiza watumishi kufanya kazi kwa ueledi.

Akihitimisha ziara yake ameahidi kuwa atahakikisha fedha za umaliziaji wa miradi zinaletwa ili kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati uliokusudiwa.




Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.