Kata ya Mecco ni miongoni mwa Kata kumi na tisa zilizomo katika Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Ilemela ndani ya Manispaa ya Ilemela Kata ina jumla ya Wakazi 23,294 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 kati ya hao wanawake ni 12,550 na wanaume ni 10,744.
UONGOZI WA UTAWALA
MH. DIWANI GODLISTEN M. KISANGA
AFISA MTENDAJI WA KATA : IMELDA CHUNDU
KAMATI YA MAENDELEO YA KATA (W.D.C)
WATAALAMU
WATENDAJI WA MITAA
Shughuli kuu za kiuchumi kwa wakazi wa Kata hii ni pamoja na biashara ndogondogo, ajira Serikalini na wengine wameajiliwa katika Taasisi binafsi, pamoja na Mifugo.Kata ya Mecco ina jumla yamaduka 358 ambayo ni maduka ya kuuza jumla ni 6 na maduka ya rejareja 352. Pia Kata ya Mecco hakuna soko lakini kuna genge ambalo wafanyabiashara hufanya biashara za kuuza mbogamboga na matunda.
ELIMU
Kata ya Mecco ina jumla ya Shule za msingi tatu (3) ambazo ni Shule ya msingi Nyamwilekelwa, Shule ya msingi Nundu na Shule ya msingi Nundu ‘D’ na Shule ya Sekondari moja ambayo ni Nundu Sekondari.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.