Kata hii ya Kiseke ambayo hadi Oktoba 2015 ilikua inakadiriwa kuwa na wakazi 13,834 ambapo wanawake ni 7,512 na wanaume ni 6,313, imeendelea kutekeleza shughuli za kuwaletea wananchi maendeleo kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na miongozo na vipaumbele vingine mbalimbali vya kitaifa na kiwilaya. 2.0 HALI YA UCHUMIMheshimiwa Mwenyekiti, shughuli kuu za kiuchumi kwa wakazi wa kata hii ni pamoja na biashara ndogondogo, ajira ( serikalini na taasisi binafsi), na kilimo cha mboga mboga kwa wakazi waishio pembezoni mwa mto Buyombe.
, kwa upande wa elimu msingi, katika kata kuna shule 3 za msingi za serikali. Shule hizo ni Kiseke, Juhudi, na Nsumba.
MH.MWEVI RAMADHANI MWEVI HENRY KISHEKI DIWANI KATA
KAIMU MTENDAJI WA KATA. KISEKE KISEKE
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.