kata ya Kawekamo ambayo ni miongoni mwa kata 19 zinazounda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela. Kata inakadiliwa kuwa na jumla ya kaya 6,966 na Idadi ya watu 26,670 ikiwa wanawake ni 12421 na wanaume 14,249 (Sensa 2022). Kata hii Kwa upande wa Kaskazini imepakana na Kata ya Ilemela, kusini imepakana na kata ya Ibungilo, Mashariki imepakana na kata ya Kiseke na kata ya Nyasaka. Kata hii ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2015 kwa tangazo la Serikali
.2.0 UONGOZI NA UTAWALA
Kata ya Kawekamo ina Kiongozi ambaye ni Diwani anayetokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa OMARY JUMA BAKARI, na mtendaji wa kata ni ndugu ......,
Kata ya kawekamo ina Viongozi (07) wa Serikali za mitaa ambao ni wenyeviti wa serikali za mitaa
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.