Kata ya Kahama ni miongoni kati ya kata 19 zinazoundwa na Manispaa ya Ilemela, ina jumla ya mitaa tisa (9).
Kata inaongozwa na Diwani, Mhe. SAMWEL BUCHENJA
Mtendaji wa Kata: VICTOR LEONARD
shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika kata ni ni:- Kilimo,ufugaji, na biashara ndogondogo.
(i) KILIMO Wananchi walio wengi wanajihusisha na kilimo cha Mpunga, Mahindi, mihogo na viazi vitamu.
(ii) BIASHARABiashara inayoendeshwa katika Kata hii ni biashara ya wajasiliamali wadogo wadogo.
(iii) UFUGAJI WA MIFUGOUfugaji katika Kata hii unaendelea katika baadhi ya mitaa iliyopo pembezoni kulingana na upatikanaji na maeneo ya kuchungia mifugo. Mitaa ya hiyo ni kama Isela, Lukobe,Buteja na Buduku.
HUDUMA ZA JAMII.
Elimu Kata hii ina jumla ya shule za serikali tano (6),(i) Shule za msingi nne-
Shule ya Msingi Lukobe,
Kahama ,
Buyombe na Kahama B
.(ii) Shule ya sekondari 2 – Lukobe na Masanza
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.