Saturday 20th, April 2024
@Ilemela
Mwenge wa Uhuru utapokelewa katika Wilaya ya Ilemela katika kata ya Kayenze siku ya Ijumaa ya tarehe 15/7/2022 ukitokea Wilaya ya Magu ambapo utakagua, kuweka mawe ya msingi na kufungua miradi mbalimbali kisha mkesha utafanyika viwanja vya furahisha na kukabidhiwa jumamosi Wilaya ya Ukerewe
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.