Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela anapangisha vyumba vilivyopo wazi katika stendi ya mabasi ya Nyamhongolo Tuma Barua ya maombi kwenda kwa:Mkurugenzi wa HalmashauriManispaa ya IlemelaS.L.P 735 ILEMELA-MWANZA
Lengo la mkataba wa lishe ni kufanikisha suala la kuboresha hali ya lishe na kupunguza athari za utapiamlo katika jamii pamoja na kuhakikisha jamii kupitia uongozi wa kata unashiriki ipasavyo katika kupanga, kutekeleza na kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wa mpango wa halmashauri na afua za lishe.
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.