Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na kampuni ya Mwanza Makazi Developers Limited (MMDL), Wanawatangazia uwekezaji kwenye mradi wa GREEN ROCKY CITY uliopo jirani na stendi kuu mpya ya mabasi ya Nyamhongolo na njia kuu ieandayo hifadhi ya Taifa Serengeti.Unakaribishwa kuwekeza katika viwanja vyenye matumizi mbalimbali kama vile viwanja vya makazi, nyumba za kupangisha, biashara na viwanja vya huduma mbalimbali kama vile shule, hotel shopping malls n.k
Mfumo mpya wa ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri,“Mfumo huu utasaidia kupunguza muda, kuondoa urasimu uliokuwepo kwa baadhi ya sehemu,” Kitali alisema kwenye mahojiano hayo. “Na sehemu nyingine tulikuwa tunaambiwa kwamba kuna rushwa tumepunguza kwa sababu hukutani moja kwa moja na mwananchi.”Mfumo huo pia humsaidia mteja kujihudumia mwenyewe, hali ambayo haimlazimu tena kwenda ofisi za halmashauri kuomba, au kulipia, tozo, ushuru, leseni, faini au vibali mbalimbali badala yake anaweza kufanya mwenyewe kupitia dirisha la mteja, au Taxpayer Portal.
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.