• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
      • Mikakati ya MSM
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha ukaguzi wa ndani
      • Kiengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uhusiano na TEHAMA
    • Kata
      • Sangabuye
      • Nyasaka
      • Buswelu
      • Nyamhongolo
      • Kayenze
      • Bugogwa
      • Shibula
      • Ilemela
      • Kahama
      • Kiseke
      • Pasiansi
      • Kawekamo
      • Ibungilo
      • Nyamanoro
      • Buzuruga
      • Mecco
      • Nyakato
      • Kirumba
      • Kitangiri
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Michezo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya wah. wabunge na madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • MipangoMiji na Mazingira
      • Uchumi Afya na Elimu
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba

maji

KAZI ZA IDARA YA MAJI.

 

Idara ya maji Manispaa ya Ilemela ina kazi ya kuratibu na kusimamia maendeleo ya maji katika Manispaa ya Ilemela kwa baadhi ya maeneo ambayo hayajafikiwa na huduma ya maji inayotolewa na mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) kwa kufanya yafuatayo.

  • Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maji ya vijiji 10 ambayo inatekelezwa kitaifa, ambapo katika Manispaa ya Ilemela miradi hii inatekelezwa katika vijiji vya Kayenze, Sangabuye, Igogwe, Nyafula, Kabusungu, Kahama, Nyamadoke, Nyamwilolelwa na Igombe.


  • Kusimamia Jumuiya za watumiaji maji kwa mujibu wa sera ya maji ya mwaka 2002 pamoja na sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2009, ambapo pindi miradi hii ya maji inapokuwa imekamilika ukabidhiwa kwa wananchi kwa ajili ya uendeshaji, upanuzi na matengenezo.


  • Kusimamia Jumuiya za watumiaji maji kwa mujibu wa sera ya maji ya mwaka 2002 pamoja na sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2009, ambapo pindi miradi hii ya maji inapokuwa imekamilika ukabidhiwa kwa wananchi kwa ajili ya uendeshaji, upanuzi na matengenezo.


  • Kusimamia visima vya maji vya Umma vilivyopo katika Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na wananchi kupitia kamati za maji zinazosimamia vyanzo hivyo vya maji.


  • Kushirikiana na mashirika mbalimbali ya kimataifa pamoja na Asasi za kiraia  katika utoaji wa huduma ya maji mashuleni na  jamii kwa ujumla.


  • Kufanya vikao na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya maji ya vijiji 10 kila mwezi ili kujadiliana masuala mbalimbali ya kiutekelezaji na maendeleo ya miradi.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA YA KAZI MTENDAJI WA MTAA March 03, 2021
  • Matokeo Darasa la Saba2020 November 23, 2020
  • Orodha ya Majina ya wanafunzi wavulana na wasichana waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 shule za kutwa December 19, 2020
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2021 -Mahitaji maalum December 19, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mganga Mkuu Ilemela awataka wadau kuendelea kuunga mkono jithada za serikali

    April 15, 2021
  • Wananfunzi wajengewa uwezo kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji

    March 09, 2021
  • Mgogoro wa ardhi Kigoto wahitimishwa rasmi

    March 04, 2021
  • Wataalam wa elimu, afya na ustawi wa jamii wajengewa uwezo wa kupambana na vitendo vya ukatili

    February 23, 2021
  • Angalia zote

Video

Madiwani Ilemela waapishwa /wampata meya wao
Video zaidi

Ukurasa wa Karibu

  • Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip
  • Maombi ya leseni ya biashara

Kurasa zinazofanana

  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Tovuti Kuu ya serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Anuani ya Posta: 735 MWANZA

    Simu: + 255 736 200910

    Simu:

    Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki 2019 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela.Haki zote zimeifadhiwa